Recent content by Sirini

  1. Sirini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kumshauri huyu mwanamke sasa ananipenda mimi

    Ni nadra sana mwanaume kumshinda mwanamke ktk mazingira haya... Ukimshinda ujue kumi wengine waja
  2. Sirini

    JamiiForums Tanzania Biko +3 mzuka

    Mna wa overate sana
  3. Sirini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika enzi za ujana Wangu stasahau tukio hili

    Kubana bana mabinti getini bila kuwapa elimu ya jinsia ndio matokeo yake haya... Si ajabu akina Rosa Mistika wanazidi mitaani.
  4. Sirini

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kuongeza uume

    Mwambie mtengane... Naam ni ushauri mbaya sio?? Lakini siku zote hekima ya Mungu juu ya uumbaji haina makosa. Kila binadamu hapa duniani anae ambae uume na uke hushikamana ipasavyo yaani hutoshana. Mwenzi wako amrudie aliyemtanua nawe utapata atakaekupenda ulivyo. Usiwe mtumwa wa kutumia dawa...
  5. Sirini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini kwenye mahusiano kuna kuumia na kutokuumia?

    Kuendana na Kutoendana
  6. Sirini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini dawa ya mwanamke anayekutukana mara kwa mara?

    Mpuuzie tu
  7. Sirini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ee mwenye enzi Mungu nikumbuke tena katika upweke wangu

    Umejieleza vizuri ila hujataja mwanaume awe na umri upi!
  8. Sirini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna utofauti kati ya kuelekeza na ushauri (guidance & counseling)

    Ni kweli, nyinyi ni muhimu sana, na mazingira yenu ya kutambulika na kuhitajika hayajaandaliwa ipasavyo. Japo wateja wenu wengi wapo hospitalini wakimeza dawa ila wanasaikolojia wakipewa nafasi, taifa na familia, zitatibu wagonjwa wengi. Msikate tamaa, kadri muda unavyosonga mbele mtafanikiwa.
  9. Sirini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna utofauti kati ya kuelekeza na ushauri (guidance & counseling)

    Hii fani ina safari ndefu Bongo
  10. Sirini

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya ujumbe wa Dalai Lama kwa watu wote

    Huyu Mzee ana busara sana, anaendelea kuthibitisha taasisi za ujasusi toka nchi kubwa duniani wanawekeza kwa agent wenye IQ kubwa sana.
  11. Sirini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania True story: Unapojenga Urafiki na mtu ni vyema kumsoma

    Hakuna anguko la Taifa linalokuja ghafla bila vitangulizi, ndio maana nchi inahitaji kuwa na kundi la watu wanaoiona jamii miaka 100 ijayo, sio miaka 5 tu ili kuepuka gharama za aina hii. Vijana ndio nguvu ya Taifa.
  12. Sirini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto hawezi kudhurika kwa hili?

    Hisia za kuepusha na hatari, hukuokoa mbeleni usitamke "ningejua"
  13. Sirini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania True story: Unapojenga Urafiki na mtu ni vyema kumsoma

    Kuna wakati ujao, nchi itaingia gharama kuokoa vijana wa aina hii
  14. Sirini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzuri wa mwanamke ni kauli

    Delivered
  15. Sirini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni Kweli Yametokea : Uhalifu wa Mapenzi, mchuma janga hula na wakwao.

    Katika michezo hii, wanawake hupata raha sana
Back
Top Bottom