Recent content by Siri ya sifuri

  1. Siri ya sifuri

    JamiiForums Tanzania Huna sababu ya kuwa baba wa kambo hasa ukiwa chini ya miaka 45

    Maisha mkuu: "Maskini hali atakacho anakula apatacho;kuna wakati unajikuta umevutwa tu mahala ambapo hata wewe mwenyewe hukupatarajia, lakini ukajihisi upo salama na mwenye amani basi unaamua kutulia,sikwamba ni chaguo bali pamekufaa.basi ni ipi Busara,Hekima ama Akili kutulia mahala hapo au...
  2. Siri ya sifuri

    JamiiForums Tanzania Huna sababu ya kuwa baba wa kambo hasa ukiwa chini ya miaka 45

    "Wakishua; maisha umeyapatia na hasa ukizingatia uandishi nayo kazi, basi Mungu akupe nini tena!.
  3. Siri ya sifuri

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa diplomasia, na siasa za kiulimwengu tusaidieni majibu

    Mbona imeshatokea hapahapa nchini! aliepata kuwa Rais wa Zanzibar mheshimiwa Abdul Jumbe mwinyi alikamatwa na kuwekwa kizuizini baada ya kushindwa kukubaliana jambo na rais wa Tanzania wawakati huo mheshimiwa JK nyerere.
  4. Siri ya sifuri

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa diplomasia, na siasa za kiulimwengu tusaidieni majibu

    Kama aliekuwa rais wa Venezuela Nikolaus maduro angealikwa ikulu kwa ajili ya mazungumzo na rais wa marekan Donald trump na wakashindwa kukubaliana jambo unadhani ni nini kingetokea!?
  5. Siri ya sifuri

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aionya Uturuki kuingilia Syria!!

    Hivi nikweli hamjui kuwa" mitazamo yenu au majibu yenu hayo yanamtesa mno muanzisha Uzi!? (Echolima) Mwenzenu anajivunia Netapaka!
  6. Siri ya sifuri

    JamiiForums Tanzania Ati, "inategemea". 🤮

    "Inategemea; hicho sio kiswahili kizuri kwa swali kama hilo, labda angeulizwa utaenda kunyoa au kusuka!?
  7. Siri ya sifuri

    JamiiForums Tanzania Usikute Wema na Whozu walinunua mtoto kwa mkataba wa mzazi kutojihusisha na chochote kuhusu mtoto.

    Inamaana hata huo ujumbe mfupi wa kizushi hujasoma hadi mwisho!?
  8. Siri ya sifuri

    JamiiForums Tanzania Iran yawasilisha maombi yake yasiyotimizika kwa Marekani!!

    Habari imetufikia, vipi unamaoni yoyote au nawe pia umeridhia!?
  9. Siri ya sifuri

    JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    Lakini mimi sijajibu kwenye ujumbe wako,nimechangia majibu kwa aliekujibu.
  10. Siri ya sifuri

    JamiiForums Tanzania Baada ya Marekani kushindwa vita mashariki ya kati, Israel haitaweza tena kujilinda

    Dogo kimbia sio Skrepa hilo!😂🤣
  11. Siri ya sifuri

    JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    Ushauri ndio huo,kazi ni kwake sasa!.
  12. Siri ya sifuri

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Kula Ugolo

    😂🤣Hao ndio huitwa "wakorofi"
  13. Siri ya sifuri

    JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    Anataka tu kuona akiamka asubuhi iwe imesimama na akitaka kulala usiku iwe imesimama!.
  14. Siri ya sifuri

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kumfikisha mwanamke Kileleni (Mfanye mwanamke wako akojoe kwanza kabla yako)

    Tuache ujuaji au sio!? Ubunifu iwe kwa ajili ya mwanaume yeye mwenyewe akishajimaliza amsikilize mshirika wake anataka nini!?
Back
Top Bottom