Recent content by SirC

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mtu aliye jirani na Meku's Moshi, tujuane hapa

    Hizi swaga za matapeli, yanini kukutana na watu baa, kama vp si mngetafutana mskitini au kanisani?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Ashatu Kijaji, Hongera sana

    Huyu jamaa ni muongo, huyu mama hajasoma master Tanzania kama unavyosema alikuwa mama huruma, huyu mama kasoma mastrers norway sasa huyo unayesema ulisoma nae alikuwa mama huruma si kweli, masters na phd zote kasoma norway pamoja na mume wake,na mfahamu kwa karibu sana.
  3. S

    JamiiForums Tanzania CISA certification

    Ni paper ngapi unafanya mpaka uwe certified?, naomba pia kupata contact za kujiandikisha
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Samahani, mimi sijaona sehemu ya kuweka application letter baada ya kufungua account na kuweka CV, ukienda kwenye kazi unaona sehemu ya ku tick tuu ndo umeshatuma maombi na hakuna cha application letter je ndivyo ilivyo au mwenyewe nachemsha?
Back
Top Bottom