Dr. Ashatu Kijaji, Hongera sana

Dr. Ashatu Kijaji, Hongera sana

Hayo umeyajulia wapi mkuu wakati ndo sasa kaingia kwenye siasa? navojua mimi alikuwa mhadhiri pale mzumbe ndo safari hii kaenda kugombea ubunge jimbo jipya na kuukwaa uwaziri moja kwa moja, so she is very new siasani, I stand to be corrected anyway!!

Tunahitaji watu watakao fanya kazi Kwa weledi na siyo mkumbo. Hata Dr. Magufuli aliposhinda ubunge Kwa mara ya kwanza kwenye jimbo jipya aliteuliwa kuwa naibu waziri na ndiye rais wetu.
 
Naibu waziri wa mipango, fedha na uchumi ni mchapa kazi, muadilifu, hana upendeleo na ni mtu makini sana ktk kazi zake. Nampongeza sana kwa huu uteuzi naamini watanzania tutafikia ukombozi wa kiuchumi kupitia uongozi wako na Dr. Maguful.
Ni mapema sana kuamini ulichoandika acha muda useme!!!! Lakini kama una interest Naye nenda kwake kampongeze!!
By mlinzi wa zamu
 
Ila wakati anasoma na sisi masters alikuwa kwa kweli mamahuruma mzuri tu na alikuwa anakola vizuri sana hadi raha.kichwani yuko safi ila lugha ya kuinflunce utendaji ndo sijui

Sijakupata vizuri unaposema alikuwa mama huruma wakati mnasoma masters.
 
Huyu mama kama sikosei alisoma Norway masters na PhD na alikuwa anasoma na mme wake kwa hiyo kuhusu makandokando watu wanamsingizia au wana wivu.
 
Kuna watu wana mihemko ya ajabu sana. Inabidi pia utofautishe akili za darasani na kufanya kazi. Lecturers wana uhuru sana wa kucheza na professional zao ila waziri ni kazi tofauti, huna uhuru huo wala maamuzi ya kufanya lililo sahihi. Kumbuka ana implement sera za chama
 
Huyu jamaa ni muongo, huyu mama hajasoma master Tanzania kama unavyosema alikuwa mama huruma, huyu mama kasoma mastrers norway sasa huyo unayesema ulisoma nae alikuwa mama huruma si kweli, masters na phd zote kasoma norway pamoja na mume wake,na mfahamu kwa karibu sana.
 
Ila wakati anasoma na sisi masters alikuwa kwa kweli mamahuruma mzuri tu na alikuwa anakola vizuri sana hadi raha.kichwani yuko safi ila lugha ya kuinflunce utendaji ndo sijui

Ok. Mkulu
 
Ila wakati anasoma na sisi masters alikuwa kwa kweli mamahuruma mzuri tu na alikuwa anakola vizuri sana hadi raha.kichwani yuko safi ila lugha ya kuinflunce utendaji ndo sijui
wewe ni MUONGO, umesoma wapi naye masters? Leo nimefahamu JF kuna watu wanachafua wenzao bila hata kuwafahamu.
 
Dr Ashatu ni mchumi. Ni mama wa familia, na mtu wa dini pia. Amesoma Masters na PhD Nchini Norway, na walikuwa darasa moja na Mme wake. wakati wanasoma, walichukua watoto wao wakawa wanaishi nao Norway.
Ni mgeni kwenye siasa, na kwa kweli kabeba jukumu kubwa maana pale wizarani ndio kwenye kibubu cha hii nchi. Baada ya kumchafua, tumuombee, Mungu amuongoze katika utendaji wake.
 
Ila wakati anasoma na sisi masters alikuwa kwa kweli mamahuruma mzuri tu na alikuwa anakola vizuri sana hadi raha.kichwani yuko safi ila lugha ya kuinflunce utendaji ndo sijui

Umeulizwa umesoma naye lini, darasa la mwaka gani na chuo gani we nyangema? Mnatakiwa kuwa arrested kwa kuchafua maisha na majina ya watu.
 
Chukii ni kubwa sanaaa kwa sababu anavaa hijaab
 
Anatakiwa kuwa makini sana tena sana vinginevyo anaweza kuingizwa mkenge na wajanja ambao wanaweza kutumia udhaifu wake. Bora kuwa na Kiongozi Muadilifu kuliko Mjuzi sana lkn mbadhirifu wa mali ya umma. Hongera sana Dr. Shatu
 
Back
Top Bottom