Mi niko tayari kutizama muvi yoyote ile{action,comedy,family,sci-fi,horror} ya hollywood ili mradi tu iwe imetengenezwa na kampuni za filamu kama warner browser,paramount,colombia,walt disnep,sony,20th century fox na netflix kidogo.
Hizi filamu zinazotengenezwa na kampuni ndogondogo huwa naziona...