Recent content by Sir_Finus

  1. Sir_Finus

    JamiiForums Tanzania Network ya 5G kwa Vodacom na TIGO

    Muda umepita sasa toka vodacom na Tigo walipotangaza upatikanaji wa 5G kwa mtandao wao. Kwangu sijapata kuona kabisa katika simu nilizotumia network kupanda kwenda kwenye 5G. Nimeangalia band wanazotumia na simu nilizotumia ndo hizo hizo lakini hamna kupanda na maeneo mengi nayokuwepo dsm ndo...
  2. Sir_Finus

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge na EarPods ni ushamba au ujanja?

    Anaoufanya Maulid si ushamba wala ujanja ni aina ya maisha yake kayachagua.. Ila wewe ndo unaleta ushamba ukijisi una ujanja kupata hasira na wivu kuwa anavaa earpods na kubeba simu yake yenye macho matatu.. Tafuta hela mzee makasiriko yakutoke ukija jukwaani unaleta mada nzito..
  3. Sir_Finus

    JamiiForums Tanzania Silaha za Urusi ni bora kuliko za Marekani, ni kimbilio la mataifa mengi kuanzia sasa

    Humu kumejaa ushabiki tu. Muda utakuwa mwalimu mzuri, mimi nasubiri. Ngoja nisubiri 23% ya mama july huku nikipiga kitu changu cha ugali mlenda hapa bila kusahau mihogo na kiporo cha wali.
  4. Sir_Finus

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kusoma vyuo viwili kimoja ni cha 14 na kingine ni cha 122 duniani kwa ubora vyote ni "fully funded scholarship"

    1. Kuna no 14 na 15 hapo hapo 2. Ni ranking gani unayoongelea? Maana zipo nyingi mfano Times Higher Education (THE), 4icu, QS, US news, webometrics na nyingine nyingi 3. GPA yako ya 3.1 na top university kama ya 14 inabidi utupe ujuzi umetumia nini aisee maana hata ukiwa na motivational letter...
  5. Sir_Finus

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu Scholarships katika nchi (china, Japan na UK)

    UK 1. Chevening scholarships 2. Commonwealth scholarships China 1. CSC 2. Mofcom Japan 1. Japan world bank Scholarship 2. Mext Ila kama mdau mmoja amekuonyesha pia mpitie jamaa mmoja anaitwa Ernest Boniface Makulilo aka EBM utapata nondo zaidi. Hizo ni baadhi nilizo mention ila kuna...
  6. Sir_Finus

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI Waliweka nafasi hewa za ualimu

    Asante kwa ushauri.. Lakini jua sababu inapunguza maumivu[emoji1][emoji1]
  7. Sir_Finus

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI Waliweka nafasi hewa za ualimu

    Sawa, nisibishe. 1. Ila ukakasi wangu wa kwanza ni huo hapo na ushahidi kuwa nafasi zimetangazwa na hajapangiwa mtu. 2. Lakini idadi kubwa ya waliosoma ualimu classmates zao hawamo kwenye hiyo list ya majina tena 2015 na 2016. 3. Kingine genuine ya waliochaguliwa wangetia na namba za form 4...
  8. Sir_Finus

    JamiiForums Tanzania Je, una ndoto za kusoma nje ya nchi hususan Sweden? Niulize swali nitakujibu ninachokifahamu

    https://si.se/en/apply/scholarships/swedish-institute-scholarships-for-global-professionals/ Link [emoji121]
  9. Sir_Finus

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI Waliweka nafasi hewa za ualimu

    Unaingia kwenye pdf halafu una find shule uliyoomba unaangalia waliochaguliwa na masomo yao. Kama somo lako lipo basi kachaguliwa ila kama hamna ina maana hamna aliyechukuliwa kwenye nafasi husika
  10. Sir_Finus

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI Waliweka nafasi hewa za ualimu

    Kama hukuomba, umejuaje wametenda haki. Tena sana?
  11. Sir_Finus

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI Waliweka nafasi hewa za ualimu

    Mifumo yetu inatakiwa kupitiwa upya..
  12. Sir_Finus

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI Waliweka nafasi hewa za ualimu

    Na kweli serikali inaangalia unafuu wa kwao..
  13. Sir_Finus

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI Waliweka nafasi hewa za ualimu

    Na kweli hii ishaisha hadi wakati mwingine
  14. Sir_Finus

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI Waliweka nafasi hewa za ualimu

    Hadi wa hesabu pia?
  15. Sir_Finus

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI Waliweka nafasi hewa za ualimu

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Back
Top Bottom