leo jioni nimekatiza maeneo ya magomeni mataa pale kwene kituo cha kujazia mafuta
chemba imeziba maji taka yanarangi na harufu mbaya sana inatoka na inafika hadi maeneo ya karibu na geti la Hotel Travetine daaaaah
Sina data za ushahidi wa hlo ila kiukweli nliposoma HUMAN POPULATION KULE UNVSTY nliona kwamba LIFE EXPECTANCE kwa wanaume ni ndgo na wanawake ni kubwa....hvyo wanawake wanaishi miaka mingi kuliko wanaume..
Ila hapo kwa waliopo kwwne ndoa sina hakika sana kwa maana sinataarifa zake
Lakin uelewa...
Samahan kaka kama nmeharibu thread yako....ila sikua namaanisha udini wala nani zaidi
Nnachomaanisha tuwe tunafanya intergration of knowledge kwa maana hata vitabu vya dini vmeandika habar nying za Kijiografia na biolojia...
na nnlichoquote ni mojawapo ya kitabu cha dini kilichoeleza hzo mishe...
And sun rotation kwang nliamin tokea sijaanza standard one kiukweli sio recent ilifundishwa kitambo sana zaidi ya Karne kumi na tano zilizopita ila tu wazung hawakubali mpaka waprove jambo
Ni geog teacher wa bachelar.
Majibu mliompa ni sahihi kabisa
ila man umenifurahisha sana
Nlisoma nikiwa mdogo kule madarasa kwene Quran kua jua linazunguka
lakin nlipofika form one nkaambiwa jua lipo stationary
Nkamuuliza mwalim wang kuhusu nlivosoma madrasa ikabidi amuite mwalim mwenzake ambae...
Kuota kufa au kumuotea mtu yyte amekufa inamana amekufa kiibada na hayo maumivu ni ishara ya tabu anayoipata mtu alieacha ibada kifo chake kikawa hvyo...
Nakushauri mrudie Mungu acha maasi..tubia makosa yako..
na kama uliwahi kutenda dhambi ya kushiriki ktk utoaji wa mimba kwa njia moja au...
Hawa madem kiukweli wanazoea vibaya yaani mtu kwao yuko vzur kuliko hata kwenu alaf anakupiga vbomu makusudi..hadi nashangaa alaf simetime ukimuita oooooh dad yupo leo siwez kuja...sasa mbna vibomu dad havimuhusu..kila kitu boyfriend mi inanikera natoa tu coz nshapenda
Mimi kama tcha hua sinaga mishe na relation na madent hata awe mzur kiasi gani...na sitakaa nijisifie nmetoka na vitoto... cha msingi mwalim ni kuwa na other source of income kwa kuwekeza outside the school na unakuta miradi inalipa kuliko salary....tatzo walim weng kila akipata mshahara...
Ndugu ebu tuliza nafsi yako..wanawake wanamitihani sana...piga moyo konde kama unajiskia kuachana nae fanya hvyo soon...wala usisikilize maneno ya mtu wala usisikilize maneno matamu atayokupa...ni ukweli kwamba inauma sana kuishi na mtu alafu anakua msaliti...kaka utaamua kumsamehe basi msamehe...
Nimeona tangazo kwene.group la whatsap kwamba NACTE wametoa tangazo kua mwene.D ya Biology na D zingne tatu ataruhusiwa kusoma hyo course kwa mwaka mmoja alaf anaajiriwa...NAOMBA MSAADA KWA ANAEFAHAMU HABAR HIZI MAANA MIMI NMEINGIA NACTE LAKIN SIJAONA HILO TANGAZO
Kila mfalme anawakat wa ufalme wake...ndani ya Bongo Domo ashapiga tuzo saba kama sikosei...mwaka huu sauti ya Chiriku kapiga tuzo tano.....mwaka huu domo kapiga kili tuzo mbili na Africa moja na kuna mashindano tuzo zngne znatoka USA nazo jamaa kaingia hko kama sikosei....Cha msingi tuwe...
Mambo yenu ya kutukanana rejareja sio mata..kama unaona ushaur huna baasi bwana...inamaana story yene more than ten lines umeona neno moja tu ambalo ni minor case within a story alaf mtu anakuja kucuote kineno kimoja tu anaanza kikuita majina ya ajabu....Sasa huu ugreat thinker upo wapi..samahan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.