Ananipenda lakini chamoto nakiona

Ananipenda lakini chamoto nakiona

Mpenzi wangu ambae siku zote namuamini sana kwa zaidi ya miaka minne sasa lakini cha ajabu anapenda sana kuninunia haswa ikitokea tumepishana kiswahili nimejaribu kumkataza tabia yake hii lakini hukaa kwa mda anarudia tena yaani anaweza kukaa hata wiki moja hanipigii simu na simu yangu hapokei.

Nimejaribu kumchunguza kwa mbinu zote ili niweze kujua anamwengne au vipi lakini sijagundua nikaenda hadi kwa wanaoona kwa maono yasiyo ya kawaida lakini wameniambia ni tabia yake tu.

Lakini hana mwanaume mwingine na anakupenda sana, sasa nabaki kijiuliza ni kitu gani kinachomfanya apate ujasiri wa kunipigia kimya wiki nzima wakati tupo mikoa tofauti hua tunakutana mara chache tu.
Upoyoyo tuu, mwanamke ni mtu wa kumwendea kwa sangoma eti akutizamie? Keshakuona ----- ndo maana anapiga kimya.
 
Nakushauri rasmisheni mahusiano yenu,Mkiishi pamoja tabia hizo zitatoweka
 
tabia za kwenda kwa waganga wa kienyeji kisa mkeo ni ujinga wa hali ya juu la sivyo atakutesa sana
 
Mpenzi wangu ambae siku zote namuamini sana kwa zaidi ya miaka minne sasa lakini cha ajabu anapenda sana kuninunia haswa ikitokea tumepishana kiswahili nimejaribu kumkataza tabia yake hii lakini hukaa kwa mda anarudia tena yaani anaweza kukaa hata wiki moja hanipigii simu na simu yangu hapokei.

Nimejaribu kumchunguza kwa mbinu zote ili niweze kujua anamwengne au vipi lakini sijagundua nikaenda hadi kwa wanaoona kwa maono yasiyo ya kawaida lakini wameniambia ni tabia yake tu.

Lakini hana mwanaume mwingine na anakupenda sana, sasa nabaki kijiuliza ni kitu gani kinachomfanya apate ujasiri wa kunipigia kimya wiki nzima wakati tupo mikoa tofauti hua tunakutana mara chache tu.
Huyo ameshakuona kuwa wewe ni mwanafunzi wa mapenzi na kuwa wewe unampenda kupindukia, dalili ya kununa kwenye mapenzi huandamana na dharau na jeuri, hivyo vikiwepo kwenye mapenzi hatima ya mahusiano hayo ni lazima yawe mabaya. mahusiano yeyote hujengwa na upendo usio hesabu mabaya, hujengwa na ucheshi na utani, sio mikwakruzo na magomji.
 
Mpenzi wangu ambae siku zote namuamini sana kwa zaidi ya miaka minne sasa lakini cha ajabu anapenda sana kuninunia haswa ikitokea tumepishana kiswahili nimejaribu kumkataza tabia yake hii lakini hukaa kwa mda anarudia tena yaani anaweza kukaa hata wiki moja hanipigii simu na simu yangu hapokei.

Nimejaribu kumchunguza kwa mbinu zote ili niweze kujua anamwengne au vipi lakini sijagundua nikaenda hadi kwa wanaoona kwa maono yasiyo ya kawaida lakini wameniambia ni tabia yake tu.

Lakini hana mwanaume mwingine na anakupenda sana, sasa nabaki kijiuliza ni kitu gani kinachomfanya apate ujasiri wa kunipigia kimya wiki nzima wakati tupo mikoa tofauti hua tunakutana mara chache tu.

Kijana kuwa mshirikina ni dalili za kupaa na ungo uzeeni!
 
"Amelaaniwa yule amtegemeaye binadamu"na kinachokusumbua ni laana sio hata kununiwa,unaenda kwa waganga kisa mwanamke na akununie tu mpaka uache upunguani wako.
 
Mambo yenu ya kutukanana rejareja sio mata..kama unaona ushaur huna baasi bwana...inamaana story yene more than ten lines umeona neno moja tu ambalo ni minor case within a story alaf mtu anakuja kucuote kineno kimoja tu anaanza kikuita majina ya ajabu....Sasa huu ugreat thinker upo wapi..samahan kama kuna mtu nmemkuna lakin message ndo hiyo...lakin kuongezeana stress sio issue
 
Back
Top Bottom