Recent content by SIR.NOM

  1. SIR.NOM

    JIFUNZE MAPISHI KWENYE VITABU HIVI

    #ICE_CREAM #JUICE #Kwa_mtaji_mdogo_tu. Anza leo biashara ya #Ice_Cream_&_Juice,kwa mtaji mdogo.Hadi elfu 20 tu,inatosha sana kuanza nayo kama mtaji. #Nakupa ofa ya Kitabu kitakacho kupa mafunzo ya kutengeneza #Ice_Cream na #Juice_za_matunda_zaid_ya_aina_30. Kwa #Tsh.2000/=(Elfu mbili tu)...
  2. SIR.NOM

    Timiza ndoto zako za Ujasiriamali,kwa kupitia uzi huu

    Fanikisha ndoto yako ya ujasiriamali.Kwa kujipatia ujuzi mwenyewe kupitia simu janja yako.Kwa kujisomea vitabu vya kwenye makundi yafuatayo; #UfugajiWaKuku #KuleaVifaranga #ChakulaChaKuku #KilimoChaVitunguu #KilimoChaNyanya #KilimoChaTangawizi #KilimoChaTikiti #IceCream #Bites #Mapishi nk...
  3. SIR.NOM

    Timiza ndoto za Ujasiriamali wako,kupitia uzi huu

    Fanikisha ndoto yako ya ujasiriamali.Kwa kujipatia ujuzi mwenyewe kupitia simu janja yako.Kwa kujisomea vitabu vya kwenye makundi yafuatayo; #UfugajiWaKuku #KuleaVifaranga #ChakulaChaKuku #KilimoChaVitunguu #KilimoChaNyanya #KilimoChaTangawizi #KilimoChaTikiti #IceCream #Bites #Mapishi nk...
  4. SIR.NOM

    Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Afafanue vzur apa.Maana kama muda wako wote wa kaz umewekeza kwenye hyo biashara,afu mwsho wa cku unambie kuwa familia ictegemee kwenye hyo biashara.Hyo biashara ndyo umeifungua kwa ajili ya nini sasa?
  5. SIR.NOM

    Kushamiri kwa online App za mikopo

    Ulipita hv bila kuwalipa mzee? Afu ikawaje?
  6. SIR.NOM

    Ushauri: Mikopo ya Mtandaoni

    [emoji2]Wee jamaa,unanuzoefu nao au unatania tu?
  7. SIR.NOM

    Ushauri: Mikopo ya Mtandaoni

    Hivi karibuni kumekuwa wimbi la ongezeko la kampuni zinazokopesha hela mtandaoni.Na wengi wamekuwa wakikopa pasipo kujua uhalali wa hizi kampuni,na wengine kuzilalamikia kuwatoka riba kubwa sana. Nimekuja kwenu wadau,kupata ushauri.Kuna ndugu yangu wa karibu alikopa huko.Sasa umefika wakati wa...
  8. SIR.NOM

    Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji na sabuni za miche, shampuu batiki, mishumaa na jinsi ya kuzingatia vipimo wakati wa kutengeneza sabuni

    Sh.ngap kitabu,maana link nimeona haifunguki Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  9. SIR.NOM

    Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji na sabuni za miche, shampuu batiki, mishumaa na jinsi ya kuzingatia vipimo wakati wa kutengeneza sabuni

    Kaka mwita habar.Asante sana kwa shule nzuri hii. #Samahan naweza kuyapata haya material kwenye "pdf file" au kitabu chake.Naomba untumie kwa watsap 0768 228 904.WhatsApp #Natanguliza shukrani Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  10. SIR.NOM

    MACHIMBO YA SPEA ZA BAJAJI KARIAKOO

    Wajumbe samahan.Naomba kwa yeyote mwenye mawasiliano ya wakala wa Tairi za MRF 400.8 za Bajaji anitumie tafadhali. #Natanguliza shukrani 0622 228 904/0768 228 904
  11. SIR.NOM

    Ninashida na Agent wa tairi za MRF za bajaji

    Salaam jaman. #Ninashida na Agent wa tairi za MRF za bajaji.Aliyepo dar,kwa anaejua tafadhali msaada kupata mawasiliano yake. 0768 228 904/0622 228 904.WhatsApp/Call
  12. SIR.NOM

    Mbinu ya kijasusi inayoweza kuokoa maisha yako

    I like it Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  13. SIR.NOM

    Msaada wa kupata kitambulisho cha NIDA online

    Jaman naomba msaada kujuzwa,namna ya kupata Online Copy ya Kitambulisho cha NIDA. Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  14. SIR.NOM

    Msaada wa kupata kitambulisho cha NIDA online

    Jaman naomba msaada kujuzwa,namna ya kupata Online Copy ya Kitambulisho cha NIDA. Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom