Recent content by Sir mtafutaji

  1. S

    Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

    hivi wewe una akili kweli eti huwezi kukaa mbagala acha akili za kushikiwa mbagala kuna matajiri wengi kuliko wewe na watu wenye hadhi kuliko wewe. huenda wewe umepanga na unabwabwaja
  2. S

    PreGE2025 Mahakama yakubali ombi la Tundu Lissu kujitetea mwenyewe

    hivi wewe una akili vizuri unasema Lisu anahatarisha amani? tumia akaili Lisu hana jeshi bali anawaambia watu ukweli waache wabishane kwa hoja kamati kuu ya chadema ilisema kama hakuna reform hakuna uchaguzi hivyo yeye katumwa na kamati kuu hivyo yeye anasimamia maamuzi ya kamati kuu. Lisu ni...
  3. S

    Niwaombe watu wa dini wakae mbali na siasa za Afrika

    wewe tulia kabisa hakuna watu wanaosikilizwa na viongozi wa siasa kama viongozi wa dini hivyo ni lazima watoe matamko
  4. S

    Wapendwa,habari za mchana

    Kwakweli hiyo zaburi 109 Ukiisoma kwa siku 31 hiyo kitakachompata ni hatari zaidi maana yenyewe inasema hivi ZABURI 109 1. Usinyamaze, ee Mungu ninayekusifu! 2. Watu waovu na wadanganyifu wanishambulia, wanasema uongo dhidi yangu. 3. Wanasema maovu juu yangu, na kunishambulia bila kisa. 4...
  5. S

    Wachezaji wa Simba wamecheza chini ya kiwango

    kib alicheza vizuri sana kapombe na shabalala nao walicheza vizuri sana kwa kweli kwa ujumla wachezaji wetu walijitahidi ubora na ukubwa wa moroco ndio ilikuwa kikwazo kikubwa. moroko sio kipimo chetu hata kidogo
  6. S

    Uwekezaji Katika Mfuko wa JIKIMU UTT

    Habari wadau wa UTT, Hivi kwa wale wenye uzoefu ukiwa umewekeza kiasi cha shilingi Milioni 2 na laki moja jikimu fund utapata kiasi cha shiling ngapi kwa kila miezi 3 yaani quoter 1, quoter 2, quoter 3 na quoter 4? na je hicho kiwango huwa kinawekwa muda gani mfano miezi mitatu ya mwanzo bimana...
  7. S

    Elimu ya utengenezaji wa mishumaa

    habari wadau Nahitaji kujifunza jinsi ya kutengeneza Mishuma kibiashara. vipi kuna mtu ana utaalamu nayo? mimi nipo dar
Back
Top Bottom