Dah, very touching. Mimi nishawah kusaidiwa na a stranger tena sio mtanzania. Mimi nimesoma Edmund rice secondary school Arusha na nilimaliza 2010 form 4 pale. Maisha yangu yalikuwa magumu kidogo kwa sababu baba hatukuishi naye na mama alikuwa hana kazi. Nilifaulu darasa la 7 lakin kuingia form...
Sijasema they are bad. Ila sifa na products ni totally different. I don't know. Unaongea kwa jazba kutaka kunikomoa kwa maneno ila nawaona. Siwadharau ila they are not better. It depends on who and who.
Mmmmh, ndo maana nimejiuliza, nimefanya kazi na graduates wa Udsm, sasa kwa jinsi walivyo incompetent huwa najiuliza hizi sifa zinazopewa hawa mbona sizioni huku mtaaani?
Kwa wale waliosoma SAUT Mwanza. Foremost Education, nan anamuelewa Mr.Basil kwa wana Linguistics, na Mr.Sijjo kwa education measurement. Mmoja alitutesa sana kwa sababu alimpenda demu kwenye group letu. Mwingine alitupeleka sana kwa sababu tulipitiwa kukusanya assignment.
Mimi nilisoma SAUT BAED. Tulikuwa tunaenda field tunakutana na walotoka vyuo mbali mbali. Nilikuwa nasikia udsm students are super. Lakin sasa nilikuwa nikiangalia ufanisi wao kazin nashindwa elewa where do these division ones class speak? Sema sijui ila watu wakishajijengea some sort of belief...
Nilivimba upande, mdomo ukaanza kwenda upande. Nikaambiwa ni majini. Sasa nilipewa dawa za kiarabu ndo natumia. Naendaga maombi pia. Sasa nilikuwa nataka msaada kidogo. Nimepata nafuu lakin sijapona kabisa. Ule upande umepungua lakin haujakaa sawa maana kuna uvimbe kwa mbaali. Kwa walowahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.