Recent content by Sir Future

  1. S

    JamiiForums Tanzania Je! umeomba kujiunga na Jeshi la Polisi?

    Kuna tetesi nimesikia kuhusu usaili wa police tr 19 mwezi huu, je ni taarifa za kweli? msaada kwa anayefaham.
  2. S

    JamiiForums Tanzania kopro na constebo uhamiaji

    kwa anayejua kuusu kutoka kwa majina ya hizo nafasi. Mana haijulikan lin yatatoka, yametoka wakaguzi wasaidizi tu wa uhamiaji. Naomba tujuzane kwa anayejua tafadhari.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji

    kijana umejuaje? acha tusio na vimemo tusubili bahati zetu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji

    Uhamiaji vp? tupeane updates tumekuwa kimya sana, final draft ya majina ya waliopita yatatoka lin?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Uhamiaji utaona ya Utumishi

    kwa anayejua, majina ya waliochaguliwa baada ya usaili wa pili, matokeo yao yanaweza kutoka lini?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hatimae uhamiaji yametimia

    Nasikia kuna awamu tatu za majina ya usaili, hvy kwa wale ambao hawajaweza kuyaona majina yao ktk awamu hii ya kwanza ngoja awamu ya pili na ya tatu, Mungu ni mwema kwetu atatusaidia kupata.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hatimae uhamiaji yametimia

    Majina yaliyotoka ndo moja kwa moja depo au kunamchujo tena wa enterview? naomba mnijuze kwa wanaojua.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji vipi jamani?

    mmmmmmmmm uhamiaji sasa imebaki stor. but all in all God stil with us.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    Ndg hapo umenena, mpango kujiajiri.
Back
Top Bottom