Recent content by Sir curiosity

  1. Sir curiosity

    JamiiForums Tanzania Lissu amejiridhisha Mwenyekiti wake hachomoki, ndio maana kaamua kumuombea msamaha kwa Rais Samia

    Kikubwa suala la mbowe liishe then... taratibu zingine zifuate.... Hamna haja ya kuendelea na kesi ambayo mashaidi wote hawana ushaidi inayoeleweka.
  2. Sir curiosity

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Ufaransa: Tanzania yasaini Mkataba wa Mkopo wa Masharti nafuu wa Euro Milioni 178

    Mkuu kama tulivyo harifiwa, mwanza kwamba vigezo vya kukopa ni ...kuwa na Idadi ya watu tu kuwa wengi....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Na thamani za Resources tulizo nazo.. nchi hii ni nyepesi sana kuiongoza.. Anyway tuombe mikopo izo zielekezwe sehemu usika..
  3. Sir curiosity

    JamiiForums Tanzania Wamasai wadai hawaondoki Ngorongoro kwa sababu wanalindwa na UTATU wa kikatiba yaani Wenyeji - Hifadhi - Utalii

    Issue ya Ngorongoro ni Suala nyeti sana kitaifa na siyo masilahi ya wamasai. Kwa maana kiualisia hawakuzaliwa maeneo hayo by nature kwa maana hiyo walikwa hapo kulingani na historia inavyo sema. Sasa kama kuna impacts yake ni kubwa kiikologia , basi tuache utasi ifanye kazi pasipo hisia...
  4. Sir curiosity

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro inaangamia, tuache Siasa kwenye ukweli

    Ok, sawa
  5. Sir curiosity

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Mbona mazingira yake.... hayaendani na hiyo kiasi
  6. Sir curiosity

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Wahariri waulizeni CHADEMA wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe jela

    Hapo kunakitu nyuma ya pazia, kwamba zitto hanangea na mbowe namna ya kumtoa maabusu... kupitia mgogo wa msamaha wa Rais, Kwa nini asiungane na chadema kuangalia, namna bora ya kumsaidia...... Anyway zitto hanaweza kuwa na madhaifu mengi. Ila kwa ili tuangalie UTU.. Mbowe ni baba mwenye...
  7. Sir curiosity

    JamiiForums Tanzania Nina idea ya Educational technology product... Wapi naweza pata msaada wa fund au partnership?

    Jaribu kereka wazo lako COSTECH Pale wana deal nawenye idea kama yako
  8. Sir curiosity

    JamiiForums Tanzania Siri kumi(10) za dunia hizi hapa

    Mkuu nimejaribu kufuatilia andishI, na aina za hints anavyovitoa nikagundua ni aina mtu anayeiraji msaada..... na yupo hali ya kujifunza vitu vyepesi sana...
  9. Sir curiosity

    JamiiForums Tanzania Sheria za ulimwengu, sidhani kama Mungu ni muweza wa kila kitu!

    Muundo wa swali lako inafikirisha ila umeshindwa kuhiweka vizuri... Nilitegemea ungeuliza juu ya Ufanisi juu ya ukuu wa Mungu, na miungu Anyway Mungu wetu ni alfa na omega. Kwa maana mwanzo na mwisho Sasa ipo ivi. Katika utendaji wa Mungu hanaweza weza kubadilisha chochote alivyo viumba.
  10. Sir curiosity

    JamiiForums Tanzania Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

    Andiko nzuri,, ila bado ni simulation theorist....
  11. Sir curiosity

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI rasmi yaamua kuua elimu yetu Darasa 1 mpaka kidato cha 6? Nini kazi ya Wizara ya Elimu,OR na Necta?

    Nachelewa kufikiria kwamba hizo scenario zinaweza kuwa ndio solutions kwa changamoto ya elimu yetu.... Anyway izo zinanaweza kuwa moja kati ya sabaabu ndogo sana.... Dunia ya sasa haitaji elimu za hadidhi na kukariri sijui mchoro wapanzi sijui historira ya wakoloni Dunia inaitaji inventions and...
  12. Sir curiosity

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

    Kwa ujumla chenye thamani ni kiwanja hicho nyumba aina dili.....
  13. Sir curiosity

    JamiiForums Tanzania Serikali inapokosolewa kwa Constructive Criticism, je, Ifuate Ushauri? Hongera Bunge letu tukufu kufuata ushauri na kutuondolea ubatili huu

    Mkuu, kwamba mahakama imepata nyaraka iliyofichika ambayo. Hata Job ndugai hailewi.. imewasilishwa na nani? Kwa kifupi mahakama ingetakiwa ifanye kazi kikatba then spika hakiri kutokufuata utaratibu wa kujiuzulu .... na hapewe nafasi upya ya kuita press. Ndipo harusiwe kujiuzulu mamna sheria...
  14. Sir curiosity

    JamiiForums Tanzania January Makamba ni tatizo linalohitaji kushughulikiwa haraka sana

    Nimekuwa na wasiwasi mkubwa sana, kwa haya majibu..., inadhiisha kweli kwamba umeshindwa vibaya sana kwenye hii department.. You have to accept the reality of the problem, then tuangalie how.. to solve it. Tanzania ni Taifa kubwa kana watu wengi, wenye weledi wakutosha. Ukishindwa wapishe...
Back
Top Bottom