Naunga mkono Kwa nguvu zoote Hii hapa na ingefaa na viongozi Wengine kitaifa walisemee swala hili la kuwapokea walioshindikana huko CCM Haswa kuomba radhi Wananchi kwa yale ya 2015
Sent using Jamii Forums mobile app
Aseee kazeni buti ila hawa jamaa wa bei chee Wapo wanaotamani Kuja CHADEMA this time Hakuna kuwapa nafasi Wawe wanachama tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
wanajamvi ivi kama mtu hajasoma masomo ya sayansi anawaza kusoma kozi ya nursing assistance kama bios kafaulu? na ni vyuo gani msaada please natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wako
Waheshimiwa kwa yoyote anayeweza kunisaidia kujua mahali ambapo nitapata shamba maeneo yaliyo Karibu na manispaa liwe Na maji aidha ya kisima au mto naomba tuwasiliane hapa 0757014056
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.