Recent content by Sipri One

  1. S

    Israel yaishambulia Syria

    Ubarikiwe eeh Israel wewe uliyependwa na kuchaguliwa na Mungu kuwa mteule
  2. S

    Mnapiga Kelele eti dola imepanda, Mna akili timamu kweli?

    Enheee umeongea vizuri kweli kijana wangu, lkn hizi ni sawa na kelele za chura zisizomzuia tembo kunywa Maji, hata ungepanic mpaka upasuke ni kazi bure. Ktk hilo unafikiri nn kifanyike? Au tuendelee tu kulalamika humu ndani?
  3. S

    ACT - Wazalendo wanatumia milioni 3.6 kwa ziara moja, CHADEMA mnatumia kiasi gani?

    Hii movie (CDM v/s ACT) ni tamu nitaangalia mpaka mwisho nione hadi majina ya washiriki (Casts)
Back
Top Bottom