Niliwai kua msajili line miaka ya 2017
Namba ya Siri kuipata Ni ili kua kitu rahisi kabisa kwa kipindi iko
Kama wakala ana roho ya wizi kumpiga mtu Ni chap,nnaamini Hadi Sasa Kuna mbinu mpya nyingi zimeshagunduliwa za upigaji
Usiamini sana kutunza hella kwenye simu
,kujua salio lako...
Nilivuna sana asali kwenye mizinga ya shule,ikawa ni mwendo wa kunywa asali na uji wenye asali nyingi,
Niliipigia hesabu mizinga ya shule imetundikwa porini ,nikashona suti ya makaratasi Yale meupe yanayotolewa kwenye magodoro mapya yani mikono mirefu ya tisheti nikaishonea kama gloves na...
Mkuu,I'vi ipo namna ya ziada mtu wa kawaida kama Mimi naweza kufanya nikawa na macho yenye kuona fursa(sehemu au VITU vya kuwekeza)na kuweza kutengeneza faida?
Kaa toa ulimi nje adi mwisho wa uwezo wako ,alafu urudishe ndani ndani kabisa adi mwisho wa uwezo wako ,rudia mara nyingi zoezi Hilo Hadi siku utayoona umeacha kukoroma,Kila la heri
Harmonize ,matatizo ,
Huu wimbo huu ,daah, kiukweli tutafute hela,ukiwa hella inaleta ujasiri usiomithilika,na usipokua nayo vilevile unakua myonge mfano hamna hasa matatizo yanapokuandama
Noti zikishakutenga;Mapenzi na wapenzi nao wanapeperuka wanaenda mbali nawe
I wish ningewai ona ushauri Kama huu na nikauzingatia yasingenikuta,nilianzisha ofisi nyingine ,garama za uendeshaji zkaongezeka,wafanyakazi wakawa pasua kichwa, nikawa simudu kujigawa kusamia ofisi zote kwa ukaribu ,kilichotokea ;haha almanusura ofidi zote zife ,nilibakia na ofisi mama tu Tena...
Rais wa misri alisema wazi hawezi wapokea wapalestina Kama wakimbizi sababu
Kuuruka mtego wa Israel kuja kuifanyia ugaidi misri as wakimbizi watakaoingia misri wataanza mashambulizi na kuendeleza harakati za kushambulia Israel kutokea mipaka ya misri kudai Uhuru wa palestina.
Pia Kuna maazimio...
Kila upande una changamoto zake mkuu, ungeenda guest pia ungekutana na kashkash zake uwenda zingekukera pia, usisahau kupitia uzi mmoja humu jukwaani unaelezea vituko vya lodge.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.