Recent content by Singwa

  1. Singwa

    TCRA yapiga stop wimbo wa Nay wa Mitego kuchezwa kwenye vyombo vya habari

    Mbona wamekosea jina lake? Emmanuel Elibariki Kingu ndio jina lake 😜😂😂😂
  2. Singwa

    Computer Screen inadisplay Tofauti

    Daaaah asante mkuu. Naona inablink blink lakini inaleta rangi halisi kwa mbali. Ngoja nikaze VGA cable Asante sana m2mavi2
  3. Singwa

    Computer Screen inadisplay Tofauti

    Ni desktop Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Singwa

    Computer Screen inadisplay Tofauti

    Yaani screen sio ya blue, inatoa mwanga fulani hivi kama jua la kuzama. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Singwa

    Computer Screen inadisplay Tofauti

    Wakuu, Screen yangu inadisplay rangi kama njano fulani hivi. Hali hii inasababisha macho kuumia wakati wa kutumia computer. Nifanyeje kutatua tatizo? Msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Singwa

    Naomba mwongozo wa kisheria

    Kwa hiyo nisimamie hoja gani mahakamani?
  7. Singwa

    Naomba mwongozo wa kisheria

    Nimeshtakiwa mahakamani kwa na mtu ambaye nilimkopa pesa kwa makubaliano ya kurejesha na riba ya 30% mwezi wa kwanza nikamlipa riba tu. Mwezi wa pili baada ya kuona sijamlipa riba yake + hela niliyomkopa, akaamua kuja kuchukua dhamana nyumbani. Imepita miezi 10 ameamua kunishtaki mahakamani...
  8. Singwa

    Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

    Nimepatwa na dharula, nimewekeza nyumba ili mlolongo usiwe mrefu
  9. Singwa

    Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

    Hello, Nahitaji mkopo wa kiasi cha tsh 1,000,000.00 (Milioni moja) wenye riba nafuu. Nina dhamana ya nyumba iliyopo Kitunda Dar es salaam. Tafadhali ni PM
  10. Singwa

    Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

    Ukipatia kutoa jibu sahihi kwa swali hilo la Kizushi na wewe unajikuta upo katika hali hiyo ya upweke ghafla
  11. Singwa

    Natamani kujiunga na TISS, Nifanyeje?

    Kama kuna yoyote anaweza kuniunganisha naomba msaada, au ani-PM kunipa maelekezo.
  12. Singwa

    Natamani kujiunga na TISS, Nifanyeje?

    Hata connection pia ni ngumu. Ndio maana nimejaribu kufunguka hapa
  13. Singwa

    Natamani kujiunga na TISS, Nifanyeje?

    Bila shaka wananisikia, ndio maana nimeamua kuombea kazi hapa. Hope nitapata maelekezo sawia!
Back
Top Bottom