Recent content by SINGULARITY

  1. SINGULARITY

    Vitisho vya kufunga Straight Hormuz vikitekelezwa tunaweza kufa kwa Kiu ya Mafuta

    Analojia rahisi kwenye hili ni kufananisha Strait ya Hormuz kama mto mdogo wa kijijini ambao 30% ya maji tunapata hapo. Maji haya ndio kiungo muhimu katika shughuri za kila siku za kijiji chetu. Sasa, kuna bwana anyekaa huko kwenye chanzo cha mto aliweka bayana kabisa kuwa ataufunga mto kama...
  2. SINGULARITY

    TikTok’s Ticking Clock: Trump’s Dance with Deadlines Amid Middle East Crisis

    The midnight of June 19, 2025, TikTokers are on the edge of a digital guillotine in the U.S., facing a ban unless President Donald Trump waves his executive wand yet again. The app, a virtual playground for more than 170 million Americans, is caught in a geopolitical tug-of-war, with its Chinese...
  3. SINGULARITY

    Mwigulu needs to wake up, Kimei has some wisdom he can take

    The old-time banker who’s seen corporate wallets swell and shrink, has thrown shade at Tanzania’s new 10% tax on retained corporate earnings, a levy that’s hitting profits previously left untouched for reinvestment, unlike dividends, which already faced the taxman’s grip. Bankers like him...
  4. SINGULARITY

    CHADEMA mnawatetea Wanyonge gani? Mbona Watumishi wanalialia nyie mko kimya?

    Watumishi huwa wanaingiliaga kati haki za hao Chadema zikiwa zinasiginwa?
  5. SINGULARITY

    Utapeli miamala ya simu: Usikubali malipo kwa simu toka kwa usiyemjua

    Niliona hatari ya huduma hii tangu ilipoanza. Ninawashauri Vodacom na watoa huduma wengine kuongeza kipengele cha kuwasilisha madai katika migogoro ya namana hii. Wakati mtu anarudisha muamala unaoshukiwa au anafanya hivyo kwa sababu ya ulaghai. Watoa huduma wanatakiwa kuzuia muamala kwa pande...
  6. SINGULARITY

    Waziri Mkenda awataka DIT waanze kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na pikipiki

    Sidhani kama dhumuni la kuanzisha chuo ni kuja kuwa kiwanda, huku ni kuchanganya siasa kwenye taaluma za watu. Sioni kama DIT wanauwezo wa kinyenzo, eneo na nguvu kazi kuanzisha kiwanda cha vipuri vya kuhudumia taifa zima. Kama kweli Waziri anania ya kuanza kuvuna ujuzi na taaluma ya chuo hicho...
  7. SINGULARITY

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Kila mtu ana ajenda yake, ya muda mfupi na mrefu. Chunga sana usijaribu kujipa umuhimu kwa mtu ambaye hujui ajenda zake. Unaweza kuwa muhimu katika ajenda ya sasa ya muda mfupi, lakini haufai kwa ijayo au malengo yao ya muda mrefu.
Back
Top Bottom