Recent content by Singo

  1. Singo

    JamiiForums Tanzania Je, Wewe Ni Overthinker? Jua Nguvu Yako Halisi

    Virgo wanaingia hapa, naelewa kilichoandikwa
  2. Singo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rapa Zay B (Zainab Lipangile) afariki dunia leo, Mei 31, 2026

    Ni kifua kama cha Zay B,kiuno kama cha Ray C Na pozi kama za JD ,Sauti kama ya Fina..... Alikua na kifua kidogo (small titties)
  3. Singo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya 9 December 2025

    Kwa hiyo umefikia hitimisho taarifa hii ndio sahihi na si Ile nyingine ,uko huru kuamini taarifa yoyote
  4. Singo

    JamiiForums Tanzania Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

    Mimi binafsi nimejiunga Twitter July 2012 pia niliona nimechelewa kujiung,so kuhusu twitter kuwepo hiyo 2012 hilo limejibiwa. NB Twitter ilianza 2006 Na kufikia 2012 ilikuwa ni social.media.ya pili Kwa ukubwa baada ya facebook ikiwa Na watumiaji karibu milioni 200
  5. Singo

    JamiiForums Tanzania Usibane sana mtaji ukiwa unasajili Kampuni

    1 mil capital 167,200 Above 1 mil to 5mil 247,200 Above 5mil to 20 mil 332,200 Marekebisho kidogo ktk Bei Za brela Kwa kurejea mtaji uliandikwa ktk memart
  6. Singo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Mtu akinichokoa chokoa, nitasema vitu utatoka moshi huwezi kufungua Macho

    Wengine hata kucoment tu unajifikiria mara mbili mbili
  7. Singo

    JamiiForums Tanzania Kitabu Gani kimebadilisha maisha yako ungependa wengine wakisome

    Shaaban Roberts - Adili Na Nduguze. Siwezi sema kimebadilisha Maisha yangu ,Ila muandishi anaweza,natamani wengine pia wapate utamu wa fasihi ya kiswahili
  8. Singo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA

    Hawezi acha,ndio asili yake
  9. Singo

    JamiiForums Tanzania Haiba ya 'brothers are forever' ya mwamba inamuotea matende

    Sawa basi cha kura ziamue,
  10. Singo

    JamiiForums Tanzania Haiba ya 'brothers are forever' ya mwamba inamuotea matende

    Miongoni mwa wapambe wa Lissu ni Msigwa na Dr Slaa ,inashangaza. Nimemsikia Mbowe emesema hatakuwa na shida na hata acha kusaidia chama ikiwa Lissu atashinda. Kura zitakuwa za wazi kwanini wapambe wa Lissu mnaogopa hili,kwanini mnataka Lissu apite bila kupingwa? An interested observer
  11. Singo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025,ungependa aelekee katika chama gani

    Asajili chake kama ni rahisi
  12. Singo

    JamiiForums Tanzania KERO RITA Lindi Mjini wamekosea majina yangu sahihi wakati wa marekebisho mara mbili mfululizo, inanigharimu zaidi

    Huko hamuombi kupitia mtandao,hata kama manual kama attachment ya marekebisho mkirejea na ikaonyesha kosa lilikuwa kwao huwa hualipi tena. Utalipaje marekebisho wakati aliyekosea ni afisa wao?
  13. Singo

    JamiiForums Tanzania Siri ya kwanini Lissu anaungwa mkono na Wanaharakati na siyo Mbowe

    Msigwa kuwa ndio anamshauri Lissu,hii pekee imenionesha picha yake halisi
  14. Singo

    JamiiForums Tanzania Lissu akiitisha mkutano wa waandishi wa habari kumjibu Mbowe, TBC wataurusha live?

    Watu mko bizi sana na siasa,yaani ndani ya siku moja issue ya chama kimoja inaletewa threads kadhaa na mtu mmoja ,mmoja !
Back
Top Bottom