Natafuta mchumba haraka wa kuoa....
SIFA...aliyemliza form four mwaka jana kwa matokeo haya ya juzi ili aje kuendeleza maisha ya starehe kwangu na kusahau yote yaliomkuta ...
Habari zenu wana jamvi kwa ujumla wenu....
napenda kutoa ahsante zangu za majonzi kwa watu na vitu hivi vya dunia hii maana sasa WATANZANIA na kizazi chetu kimepatikana haswa...
1.Ahasante JK...kwa wazo lako la shule za kata maana naona wewe na wenzio mmefanikiwa kwa asilimia 60 kutuletea...
Hi kwa wooote...
Ndugu zangu msinichose wala nisiwachose kwa maneno mengiii maana mficha uchi azai na mficha ugonjwa maradhi yatamuumbua....Naomba kujua wapi ntapata dawa ya mapenzi ya kienyezi nataka nianze mapenzi sasa rasmi....Nile vichwa kimoja baada ya kingine kwa maneno machache tuu na...
Wadau mzima wote??
Hivi mwenzenu hapa ndo panaponichanganya sana....wakati wenzetu wanzungu katika mechi zao wanafungana magoli kibao tena kwa mbwembwe za kufa mtu na mpira wa kasi...Sisi huku kwetu mpaka sasa almost mechi mbili sasa afrika kusin vs cape verde na angola vs morocco mpaka sasa...
Mimi ni mwalimu wa masomo ya science (BSc Education chem and biology) mwenye uzoefu wa miaka mitano...Natafuta kazi kwenye shule ya Private yenye kulipa vizuri...............! please ni PM kwa mawasiliano zaidi kwa yoyote mwenye kuweza kunisaidia
Leo kulikuwa na sherehe za kutangaza matokeo ya SENSA ya idadi ya watu iliyofanyika hapa TANZANIA....Mhe RAIS ameongea mengi lakin lililonishangaza mimi ni pale BWANA RAIS anapowaomba wanaume wa nchi yake wapunguze kuzaa maana idadi inatisha...SWALI..kila mtanzania anatakiwa awe na watoto...
Nani wa kuikomboa TABORA???? Bwana RAGE sasa anashida DSM tuu huku akikimbizana na mashabiki wa SIMBA...kAPUYA NA SITA ndo kabisaaa...pamoja na kupata vyeo kibao selikalin na mama sita hakuna waliloliweza kufanya kwa maendeleo ya tabora...Kilichopo sasa ni wananchi kuamka na kuleta mabadiliko na...
Mbunge wangu Mnyika natumaini umzima na unaendelea vizuri.!!
Najua kuwa una mambo mengi ya kutufanyia sisi watu wako wa Ubungo lakin mimi leo nakuomba utusaidie ili si unajua kuwa kata nyingi huku haswa maeneo ya Manzese zinaongwa na MAGAMBA,sasa kila leo ni michango mipya..tulikuwa na mchango...
wamekuja na vyeti wanaumwa wamepelekwa kupimwa na daktari wa timu ya taifa...majibu mmoja ni ugonjwa wa zaman sana hautamzuia kucheza mwingine haumwi kabisa
HII NI AKILI AU MATOPE......Wakati ADEL TAARABT wa morocco anasema hata kama QPR ipo kwenye hali mbaya ya kushuka daraja yeye akiitwa timu ya taifa atakwenda., PETER ODEMWINGIE analia kuachwa timu ya taifa ....huku kwetu watoto SAMATTA na ULIMWENGU kufika mazembe wameanza kufoji vyeti vya...
Hivi unawezaje kusema ```mungu amlaze marehemu peponi ameen wakati unajua kabisa marehemu alikuwa muuaji, marehemu alikuwa anakula TIGO, marehemu kadhurumu haki za mayatima na mengi mabaya..... Tuacheni kumfanya mungu mtoto
Kaka hii habari ya huyu jamaa uliielewa au umekurupuka tuu??? si kwamba arsenal walimshindwa habari ipo hivi kocha wa arsenal alitaka amfanyishe majaribio kwanza wakati hawa reading wanamchukua moja kwa moja bila majaribio
Habari wana jamii??
Hivi kuna nini tena kinaendelea ndani ya chama chetu cha maendeleo na demokrasia maana sasa naona kama ni vurugu mechi na kutunishiana misuri....mara huyu hivi na huyu hivi au ndo watu wanaanza kuonesha tabia zao za chui kutoka kwenye ngozi za kondoo?? au ndo ngoma ikiwambwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.