:nono:
Kama EL na huyo James Millya wangekuwa hizo nguvu, yafuatayo yasingewezekana siku za nyuma
1) Sioi Sumari asingeangukia pua juzi
2) James Millya asingeangukia pua kwenye ile kesi ya kuwashwa kofi na Sendeka hadi kuzimia kwa saa
3) James Millya asingeangukia kisogo kwenye harakati za Bunge...
Sendeka na James Millya ni paka na mbwa (sijui paka ni yupi na mbwa ni yupi - utajaza mwenyewe) hawakai pamoja, issue ya kofi bado ipo tete hadi leo; wee unasema....pepepe....mwaminifu? Uko wapi uaminifu wako kama ni kweli si ungepiga kimya?
Acha uongo Mujuni....... mtu mzima *******o!
Thank you Ndinda, a small addition with your permision
1) Serengeti= derived from the maasai word 'siringet' meaning 'flat endless plain'
2) With all the endowments of land based resources, why are we poor? Is it because of
a) lack of technology (b) Poor leadership, (c) greedy and selfishness...
Shykwanza, inawezeka upo mirembe ila siwezi kusema kwamba wewe ni mjinga! Hizo ni akili zako, tatizo ni kwamba hazijajaa yaani umepungukiwa kiasi fulani! Kimsingi endelea na matibabu baada ya miezi miwili utatoka - madaktari sasa wanafanya kazi! ILA PUNGUZA KUKURUPUKA Kuli wetu!
Kwa kawaida mwanamke akifikisha miezi sita wakati wa uja uzito hatakiwi kufanya mapenzi. Vile vile baada ya kujifungua mwanamke bado hatoruusiwa kufanya mapenzi kuanzia miezi 6 na kuendelea ili kuruhusu uke wake kurudi katika hali yake ya kawaida na hiyo itategemea na maumbile ya mwanamke husika...
how?
by people's choice?
Kwangu mimi ni mtu mwenye tabaka zote za ufisadi ila pia ndio kiongozi aliyeonyesha kudhubutu hadi leo ikiwepo kujiuzulu alipohusishwa na richmond! Ni mchapakazi na mjasiria mali! Matatizo kama binadamu yepo: Kisasi, utajiri ambao ni yeye pekee ndio anajua chanzo...
Hi Friends, habari toka ndani ya Chama ni hizi:Hakuna lolote, hakuna chochote - ni maandalizi ya Valentine day na Harusi ya Arumeru! Mkutano wa dharura ni tarehe 12 - 13 Feb, then siku yenyewe ya rangi nyekundu. Watu kujinafasi bwana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.