Recent content by Sindano Sugu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kafulila umeondoka uvinza,asha baraka kashachukua jimbo.

    Hiv ni David kafulila au David Kafulia, maana huwa inanichanganya ................which is which?
  2. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA muheza kumekucha ripoti hii hapa

    Hiv sasa hivi kuna CHADEMA ngapi?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hauvunjiki ng'o

    Mi cjaelewa na hizo hoja za kuhusu muungano, eti mchanga ulichanganywa halaf ukafanyiwa nini?, huo si ni uganga na Tanzania c wote tunao amini uganga na uchawi, vya kuuimarisha muungano siyo matambiko wala kafara, ni matarajio ya wananchi kwenye muunganio, faida za muungano ni kwenye ulimwengu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kadi ya ccm wadau

    Kwan we ofisi za ccm huzijui?.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni zamu sasa kwa kanda ya nyanda za juu, magharibi au kati kutoa rais wa tz 2015...

    Hapa JF ni mahala pa kujadili hoja zenye mashiko, siyo pumba za kibaguzi, fikiri kabla ya kuleta hoja.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

    Mungu ibariki Tanzania.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha vita ya kagera?

    "Nakuomba sana usiingize DINI harakaharaka angalia pande zote vaa na wewe uhusika uone kama wewe ndo ungekuwa Nyerere ungemtendeaje Rafiki yako Dhidi ya ADUI yake????." Jamana watu mmeomba historia, mtu anaelezea jinsi anavyoelewa anakosolewa, ungeleelezea wewe basi kama vip.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nini asili ya jina Tanganyika na Nani alilitunga jina hili?

    No research, No right to speak!!!!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Huu ni mfumo na tusipokuwa makini "the generation to come" wapo mashakani.
Back
Top Bottom