Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,681
- 1,698
Mkuu pana wanasiasa kasuku humu nchini ambao wanajifanya eti 'hawajui' jina TANGANYIKA lilipotoka na maana yake. Aksante kwa somo hilo ila kwa kuwa tu wavivu wa kusoma bado utawasikia wakiukasuku msemo wa baba wa taifa. AIBU tupu.Kumekuwa na upotoshaji wa asili ya jina Tanganyika nami kwa busara nimeona nitoe link ifuatayo kwa ajili ya kuwasaidia wapotoshaji ili wasiendelee kupotosha watu matahalani kipindi hiki ambacho tunaelekea kwenye katiba mpya. Someni hapo:http://en.wikipedia.org/wiki/Tanganyika_Territory