Recent content by Sinanjema

  1. Sinanjema

    Ofisi imemchagua mke wa rafiki yangu aende training Marekani mwaka mmoja. Jamaa yangu yupo njia panda

    usipo mpa ruhusa wewe unadhani atakuelewa?hakuna mtu asiye na ndoto za kwenda amerika.chukulia ingekuwa upande wako alafu akukatalie ungekubali?
  2. Sinanjema

    Ni ujinga kugoma kufanya biashara. utakufa njaa wewe na familia yako

    Huyu inaelekea yupo tayar kutoa kinyeo hili hasilale njaaa
  3. Sinanjema

    Mzazi wangu amekogoma kupokea posa ya mwanaume wa kiislamu

    Yaan ni Babu dullah tu😀😀😀😀
  4. Sinanjema

    Intelligence ya UKRAINE inaitesa Urusi, tangu kuanza kwa wiki hii Urusi alianza kuonekana na uhakika na ushindi wa Azovstal, kumbe kachezewa akili

    Unapoteza muda wako kuandika porojo ambazo hazina maana yyte kwa ao Ukraine maana kipigo Bado kinaendelea
  5. Sinanjema

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hivi uyu itakuwa analipwa kwa hizi porojo zake ee?
  6. Sinanjema

    Msaada wa haraka unahitajika

    Habari zenu ndugu zangu, Naomba kuuliza kwa wale waliofanikiwa kupata kazi wizara ya ardhi na kutakiwa kuripoti tarehe 4 kazini. Kama tunavyojua tarehe hiyo itakuwa ni sikukuu, je Kuna mabadiliko yoyote ya tarehe ya kuripoti au twende tu tarehe hiyo hiyo? Natanguliza shukrani.
  7. Sinanjema

    Celebrities wengi wa Bongo ukikutana nao unakuwa disappointed kwa mwonekano wao

    Naungo mkono hoja,niliwai kukutama na dog janja yaani ni mfupi tofauti na unavyomuona kwenye kideo
  8. Sinanjema

    Mahusiano yangu yamekufa rasmi Valentine Day

    Hapo huna mwanamke Bali una kahaba
  9. Sinanjema

    Sababu ya jeshi la Marekani bendera na nembo zao kuwa na picha ya ndege mbabe Tai

    Movies za akina Rambo na chekinoris zinakudanganya mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  10. Sinanjema

    Humu kuna wanaume wanaringa pwa!

    Mbona umeandika makasiriko Sana?pole dada tamaa zimekuponza
  11. Sinanjema

    Kwa akili niliyonayo sasa kama ningepewa nafasi ya kuchagua pengine nisinge chagua dini yangu ukristo

    Nimeshangaa Kuna sehemu nimepita nimekuta maandishi yakisomeka kabisa linauzwa,nyumba ya ibada inauzwa?
  12. Sinanjema

    Jeshi la Urusi ni dhaifu sana, ni dhaifu mno

    Hapo Russia inabidi aigeuze nchi mzima kuwa majivu shwaini
  13. Sinanjema

    Vitu muhimu kwa mwanamke

    Mungu hawezi kupa vyote,akikupa pesa basi anakunyima nguvu za kiume
Back
Top Bottom