Recent content by sina-ajira

  1. sina-ajira

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Hiko kipengele cha kulitaka kila Jimbo kuwakilishwa na Wabunge wawili kwa kweli kina walakini.Kichambueni kwa makini hiko kipengele mkikihusishanisha na mfumo wa kisiasa [Demokrasia] tunaoishi ndani yake na mtaniunga mkono kwamba hiki kipengele kimelazimishwa kuingizwa katika hii RASIMU ya...
  2. sina-ajira

    Dk. Slaa aungopea umma mjini morogoro

    Ukitaka kuufahamu ukomo wa kufikiri na wa kuchambua mambo ulivyo duni miongoni mwa WanaCCM ni namna wanavyo zichangamkia Mada za kipuuzi na zinazowekwa watu wenye kiwango cha chini kiuelewa kama wanavyo fanya hapa.Huwezi kuwaona watu hawa kwenye mada zinazohitaji akili sana na ufahamu wa kutosha...
  3. sina-ajira

    Nape aja na Tuhuma nzito dhidi ya CHADEMA

    Nepi ni mpumbavu na mwanasiasa mjinga kabisa,jana nimehudhuria mkutano wa CHADEMA na ulikuwa wa amani kabisa,Hivi hawa watu wa CCM ukomo wao wa kufikiri ndio umeishia hapa?Sina cha kuongea zaidi ila ukweli ni kwamba CCM haina Viongozi wenye mawazo makubwa.Poleni!
  4. sina-ajira

    CHADEMA kupasua anga tena

    Tupo hapa Moro town na watu wanaanza kujaa taratibu
  5. sina-ajira

    Kinana na Kesi Ya Ubunge wa Lissu, Je hajahusika kwa kesi za uchaguzi wa Igunga na Sumbawanga???

    Hatima ya Urais wa Kikwete uko mikononi mwa Lissu siku watakayo uhujumu Ubunge wa Lissu ndio siku ambayo Kikwete itabidi ajiandae kurudi kijijini kwake Msoga pamoja na family yake au ajiandae kwenda ICC the Hague.Itakuwa ni maandamano Kwa kwenda mbele na huyo Msomali Kinana tutamrudisha kwao...
  6. sina-ajira

    CHADEMA wanasa mikakati ya CCM, Kinana kumwondoa Tundu Lissu Bungeni

    Mambo ya Nchi za nje huna ufahamu nao wa kutosha we bora tujadili mambo yetu ya hukuku Uswahilini ndio level yako hii.Kwa Assange alichokifanya kufichua siri za mataifa mbali mbali haikuwa kosa kwa mujibu wa US Constitution chini ya kipengele cha Freedom of Speech.Bahati nzuri hiyo HAKI ya...
  7. sina-ajira

    Kwanini serikali za Ulaya na Marekani hawatoi mialiko kwa Dr Slaa?

    Mara ya mwisho Rais Kibaki kutembelewa na Viongozi wa nje au hata yeye mwenyewe Kibaki kutembelea Nchi za nje ilikuwa lini?Sasa angalia mambo aliyoyafanya Kibaki kule Kenya halafu linganisha mambo aliyoyafanya Rais wetu kiguu na njia Kikwete.Tujifunze kujitegemea Watanzania sio tunakaa kwa...
  8. sina-ajira

    Kwanini serikali za Ulaya na Marekani hawatoi mialiko kwa Dr Slaa?

    Na tangu tutembelewe na Viongozi wa Mataifa makubwa kutokana na wema wa Chama tawala tumefaidika na nini na hii ndio sababu tutampeleka Dr Slaa Ikulu 2015.Tunamuamini na ataipitia upya mikataba yote ya kifisadi iliyosainiwa na akina Chief Mangungo wa leo yaani MaCCM
  9. sina-ajira

    Wenje, kukihusisha CUF na ushoga,ulifanya tafiti au ulimeza kama kawaida yenu?

    CCM ndio waliohusika ku-inflate gharama za vifaa vya ujenzi na bidhaa nyinginezo kwasababu ya kodi nyingi zisizo na kichwa wala miguu kodi zinazochochewa na matumizi makubwa ya anasa ya Serikali ya CCM kumbuka kwamba CHADEMA mara nyingi waliishauri Serikali kupunguza matumizi makubwa yasiyo ya...
  10. sina-ajira

    CHADEMA kinazidi kupoteza umakini

    Unawazungumzia wasomi gani mkuu?Watu wengi waliosoma wakaelimika hawaiungi mkono CCM hao walioko CCM ni wachumia tumbo na wanaoitegemea CCM kuendesha maisha yao ya kila siku au wale waoga wanaojiunga CCM kimaslahi ila mioyoni mwao ni CHADEMA safi.Jipange!
  11. sina-ajira

    CHADEMA kinazidi kupoteza umakini

    Mbona hueleweki mkuu?Shusha nondo ueleweke hoja zako ni za kitoto mno ni kama vile ulikurupuka usingizini.Jipange!
  12. sina-ajira

    CHADEMA wanasa mikakati ya CCM, Kinana kumwondoa Tundu Lissu Bungeni

    CCM mna akili kama wanafunzi wa darasa tatu yaani hamna hoja kabisa naona kama Dr Slaa anajidharirisha kujadiliana na nyinyi LOW LIFE Politicians!
  13. sina-ajira

    CHADEMA wanasa mikakati ya CCM, Kinana kumwondoa Tundu Lissu Bungeni

    Mbona hata MWAKYEMBE ALISHAWAHI KUSEMA KUNA watu ndani ya CCM WALIKUWA WANATAKA KUMUUA,UNAJISAHAURISHA AU?
  14. sina-ajira

    Wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM

    Kibe,You be better be prepared when you come up with this kind of nonsense.Deep down you admit that CCM & CHADEMA descrepancy is far way bigger than you trying to depict here.Nice try though!
  15. sina-ajira

    Akina Rostam wanaswa

    It's simply a rhetoric they don't really mean what they say.Honestly speaking how can a Thief turn himself a judge and judge against himself?This is absurd!But gullible and uninformed bunch of Tanzanians will fall for this ---- from Kinana!!??
Back
Top Bottom