Benaire
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 1,962
- 312
Vinara wa uropokaji wameshaomba radhi bungeni. Mmebakia nyinyi tu walaghaika.
Tunasubiri Kinana nae aombe radhi watanzania....
Vinara wa uropokaji wameshaomba radhi bungeni. Mmebakia nyinyi tu walaghaika.
mipasho tumwachie hadija kopa km siasa wamezichoka bora wajibadili kuwa bendi ya taarabu
nilini mlishawahi kukiri CDM ni makini mpaka leo useme wanapoteza umakini,CCM au CUF jiangalieni na mkubali kuwa CDM kimeleta mabadiliko Nchini kwa kila rika,watu sasa wanahoji na wanataka kujua rasilimali zao zinatumikaje CCM na wapambe wao vichwa vinawauma,kumbukeni jana haiwezi kuwa sawa na leo tarehe zinabadilika na nyinyi kubalini kubadilika.....2015 sio mbali hapa ndio mtaona mshahara wa dhambi zenu kama hamtasaidiana kama mlivyokiri majuzi msikitini.
Chadema hawajawahi kuwa makini, ila watu walikuwa hawajawajua tu.
Kuna ule usemi unaosema "ni heri kufunga mdomo wako udhaniwe mjinga kuliko kuufungua na kuondoa shaka juu ya hilo". Chadema sasa wamefungua mdomo, hakuna tena shaka kuwa chadema ni SIFURI...
kwa mwenedo wa chama cha chadema ulivyo sasa kweli hakina umakini tena wamelewa sifa sasa wamegeuk kutojali jambo lolote ambalo ni hatari kama lugha za kuudhi na matusi. lazima viongozi wa chadema wajitafakari they are going to grave
Siamini km huyu anajua hatari maana yake ni nini ....kwanza maoni mengi ni kwamba eti kuna matusi yaliyotajwa na CDM.... inashangaza hawa watu wanathubutu hata kutoa maoni yao.....
Tuanze na Mh. Lipumba yeye alidiriki kusema "kuna Chama kimoja kinataka kutawala nchi hii na kinashirikiana na nchi zinazo dharau Uislam" ... kila mtu alijua anamaana gani kwani kauli yake ni dhahiri sana ililenga CDM .... watu tukajiuliza kushirikiana na nchi au Chama fulani maana yake ni kukubaliana na mshirika wako 100/100? .... ndio likaja la Bungeni.....ni dhahiri CUF wanashirikiana na waliberali wanaunga mkono ndoa za jinsia moja..."TUSI HAPO NI NINI"...?
Kwa ufafanuzi wa CUF ni kwamba hawaamini ktk msimamo wa waliberali ktk ndoa za jinsia moja .... basi Mh. Lipumba amepata jibu kutoka waheshimiwa wenzake kuwa siyo sahihi kuamini CDM hawathamini Uislam kwa kishirikiana na nchi zinazochukuliwa hivyo....! Kilicho fanyika bungeni ni wabunge wa CUF kutaharuki na kuanza kitukana waziwazi .,..ajabu eti wachangia mada wanaamini wale walikuabWabunge wa CHADEMA .... !
kwa mwenedo wa chama cha chadema ulivyo sasa kweli hakina umakini tena wamelewa sifa sasa wamegeuk kutojali jambo lolote ambalo ni hatari kama lugha za kuudhi na matusi. lazima viongozi wa chadema wajitafakari they are going to grave
kwa mwenedo wa chama cha chadema ulivyo sasa kweli hakina umakini tena wamelewa sifa sasa wamegeuk kutojali jambo lolote ambalo ni hatari kama lugha za kuudhi na matusi. lazima viongozi wa chadema wajitafakari they are going to grave
Sifa gani hizo unazisema wamelewa?.
CDM hawajawahi kupata sifa kutoka kwa watu waliomakini na waelewa wa mambo magumu.
Hawa jamaa na hasa viongozi wake fulani, wanajitwika sifa ambazo hawana. Kama wajinga ndiyo wanaowasifia, basi hata wanaosifiwa watakuwa pia nao ni wajinga.
It fitted simuliza ya ndege kuluka angani.
Hizo unazisema hi hisia zako ambazo hazitofautiani na akili za kibavicha.Unawazungumzia wasomi gani mkuu?Watu wengi waliosoma wakaelimika hawaiungi mkono CCM hao walioko CCM ni wachumia tumbo na wanaoitegemea CCM kuendesha maisha yao ya kila siku au wale waoga wanaojiunga CCM kimaslahi ila mioyoni mwao ni CHADEMA safi.Jipange!