Mimi nakumbuka mwaka Jana kuna Dada mmoja wala ckumpenda Ila nilimtamani tu kwa shepu yake.. Siku nimemuita sikutaka kujishusha weee alivyotoka pale aliniambia ndo nimezidi kukupenda.. Mpaka Leo ndo mtu wangu na tuna mwaka na amenifanya mpaka Mimi nimpende sana wakati nilimtamani... #Show nzuri...
Yaan wewe mtoa hoja kweli mbulula ww unataka kufananisha bongo sawa na marekani?? Hv uoni ata magari yetu upande wa dereva wa Tz na USA wanatofautiana.. yaan bongo kanchi kadogo sana wakija wale ata mwez awamalizi.. inchi ya magu ni madudu matupu ndo maana wanaogopa
Habari wakuu.. nina YouTube channel sasa naitaji kwenda live kupitia video mfano kama baadhi ya channel za online muda mwingine unawakuta live wamejiunga na TBC wengine live wameweka bongo movie.. sasa ni njia gani wanatumia kujiunga hivyo.. msaafa wakuu tafadhari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.