Adsence nyingine tofauti na Google!

Adsence nyingine tofauti na Google!

hebu fafanua yani elezea step by step kwamba ukishafungua hiyo link uingie wapi na ufanye nini mfano mi nimejiregister as a publisher,nimweka detail zote wameniambia watatuma sms kwa email but hola.
Confirmation link haikuja!? Nitafaganua hatua zote
 
minimum views inatakiwa iwe ngapi?
Haijalishi ukiwa na viewers wengi ndio utaona faida yake vinginevyo kwa kweli utakuwa unapoteza muda kwa malipo kidogoo hata hiyo $100 unaweza usifikishe
 
Haijalishi ukiwa na viewers wengi ndio utaona faida yake vinginevyo kwa kweli utakuwa unapoteza muda kwa malipo kidogoo hata hiyo $100 unaweza usifikishe
ILA SOMETHING IS BETTER THAN NOTHING
 
Mimi blog yangu kwasiku napata hadi viewers 10,000 ila sina account ya banking. ..nitafanyaje
 
Mimi blog yangu kwasiku napata hadi viewers 10,000 ila sina account ya banking. ..nitafanyaje
Ndio lugha yoyote ila jitahidi hiyo blog iwe na views za kutosha kwa siku

Naaomba namba yako yasimu tuwasiliane
 
Sasa hivi tumehama huko tunatumia Facebook kupiga mkwanja mnene.
 
Mimi blog yangu kwasiku napata hadi viewers 10,000 ila sina account ya banking. ..nitafanyaje

Naaomba namba yako yasimu tuwasiliane
Fungua akaunt ya benk ya equity bank we nenda na kitambulisho chako na 10000 siku hiyo hiyo utapewa visa card ambayo taarifa zake utaweza kuzijaza huko panapohitajika
 
Fungua akaunt ya benk ya equity bank we nenda na kitambulisho chako na 10000 siku hiyo hiyo utapewa visa card ambayo taarifa zake utaweza kuzijaza huko panapohitajika
Hawa jamaa zako wazushi sana mpaka leo hawajanitumia email wakati nimeshajisajili kwenye akaunt yao
 
Mimi blog yangu kwasiku napata hadi viewers 10,000 ila sina account ya banking. ..nitafanyaje
KAMA una habari za kukopi ndugu sahau kabisa kupewa adsense,mfano tembelea "udaku special" uone mwana hana hata tangazo moja licha ya kuwa mkongwe kazini,halafu tembelea blog moja ya kawida sana "kwata unit" uone jamaa kajaziwa matangazo mpk wivu mamamamamaeeee daah,hawa tofauti yao ni content mmoja nakopi and paste saaaanaa halaf mwingine ni content ya kwake mwenyewe, ila mdogo mdogo tutatoboa tu,mi ndo kwanza nina views 100,000 na nina mwezi tu kazini.
 
Hehehe Adsense ni part ya Google. Usiseme unatafuta Adsense nyingine kuacha ya Google unakosea, ni sawa na kusema unataguta Whatsapp nyingine kuacha ya Facebook. Sema unatafuta ad network nyingine tofauti na Adsense.

Ipo Facebook Audience Network yenyewe ni ya Facebook unaweza igoogle ukaelewa zaidi.
 
Back
Top Bottom