Recent content by simon mtindi

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Is G spot a myth?

    Hiyo kitu ipo
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake hununa bila sababu ya msingi?

    Sio kwa wanawake tu hata wanaume kuna siku mwili huwa unakua haupo sawa yaani unakuwa hautaki kusumbuliwa na hasila za karibu... kwa uchunguzi wangu nikagundua sababu ya kwanza kwa wadada ni kukaribia kwa siku zao sababu nyingine ni mwili unahic vitu ambavyo macho na akiri yako haiwezi kuvitambua
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu jamani katika ushauri, mimi nimeshindwa

    Waambie watafute muda waongee wao amweleze vitu ambavyo havipend but ww ukiwa unakwenda kumueleza matatizo yake ambayo yanafanyika kwenye faragha zao unakosea sana maana jamaa atajiuliza mengi.. wameongea hayo tu....KAMA HAUWEZ KUJISIMAMIA WEWE HAKI UTAKUWA UNAISIKIA TU
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania So, so very painful

    If your not goiog to fight for what u want no one will fight for u
  5. S

    JamiiForums Tanzania Je! kuna uhusiano wa akili (intelligence) ya mama na mtoto?

    Ni kutokana na mtoto umleavyo na iman ni kitu pekee kinachoweza kubadili kutoa kuwa kujumlisha ukimlea vizur na kumjenga kuwa jasir na asiye kubar kushindwa kilahic anakua hi
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajua kwanini wadada wengi hupenda mabwana wa Kisukuma?

    Kama wanahonga harafu famillia zao zinaendelea sio mbaya wapo poa sana
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi kudata

    Sema mdomo ni mzito ukifika kwa wadada ongea upate msaada wazuri wengi sana..
  8. S

    JamiiForums Tanzania Navutiwa na mwanamke anayevaa underskirt

    Utakuwa unamatatizo harafu hizo kitu bado zipo
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume hawapendi wanawake wanaokunywa pombe na kuvuta singara

    Kila pipa linamfuniko wake
Back
Top Bottom