Recent content by Simon Martha Mkina

 1. Simon Martha Mkina

  President Samia takes power amid heartbreaks

  🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 2. Simon Martha Mkina

  President Samia takes power amid heartbreaks

  When Tanzanian authorities announced the passing of President John Magufuli on Wednesday, Vice President Samia Suluhu Hassan (pictured) delivered the grim news. The 61-year-old was sworn in as her country’s first woman president two days later, propelling her from the relative obscurity of her...
 3. Simon Martha Mkina

  Mtanzania apora Sh. bilioni 400 za Aga Khan

  Pamoja na kwamba maelezo ya awali ya benki yanakanganya, lakini inawezekana siku alipokwenda kutoa fedha, dirishani, aliitwa na uongozi na akaahidi kurejea siku inayofuata. Lakini hakutokea na hakuna traces. Akapotea. Kama unavyosema, ni mchezo unaohusisha idadi kubwa ya watu wakiwamo maofisa...
 4. Simon Martha Mkina

  Syphoning Aga Khan money through banking secrecy: Tanzanian involved in robbing of $176 million

  Mkuu tayari, isome habari hii ya uchunguzi kwa Kiswahili: Mtanzania apora Sh. bilioni 400 za Aga Khan
 5. Simon Martha Mkina

  Mtanzania apora Sh. bilioni 400 za Aga Khan

  Familia ya Aga Khan ikiwa katika picha ya pamoja. Aliyeketi ndiye kiongozi wa sasa Na Simon Mkina Nyaraka za akaunti zilizoko Benki ya Barclays zinazoonyesha mmiliki wake ni Mtanzania – kwa miaka mitatu mfululizo, zimetumika kutakatisha zaidi ya Sh. bilioni 400, fedha zilizokwapuliwa kutoka...
 6. Simon Martha Mkina

  Syphoning Aga Khan money through banking secrecy: Tanzanian involved in robbing of $176 million

  Aga Khan family By Simon Mkina Bank accounts owned by an individual whose documents at the Barclays Bank show is a Tanzanian, have been used to launder 176 million US dollars from Aga Khan Development Network (AKDN) – for three years, JamiiForums investigations can now reveal. This amount is...
 7. Simon Martha Mkina

  President Magufuli exploits his incumbency

  Poti P, Watanzania wanajua nani wanakwenda kumchagua, wamekuwa wakifuatilia kampeni na hata kabla ya hapo. Wanafahamu nani anawafaa. Sasa kazi yetu ni kuwaeleza waende kupiga kura. Uamuzi wanao.
 8. Simon Martha Mkina

  President Magufuli exploits his incumbency

  Unamkumbuka Yoweri Kaguta Museveni, yule aliyekuwa Rais wa Uganda ambaye juzi kabadili jina, lakini kabaki na cheo chake; infact kaongeza jina la nne, aliwahi kushangaa- "inakuwaje una jeshi, usalama wa taifa, polisi na fedha, halafu unashindwa uchaguzi?" Naamini poti wangu nawe ni Museveni...
 9. Simon Martha Mkina

  President Magufuli exploits his incumbency

  Tanzania’s election is scheduled for October 28, and although there are 15 parties in contention only two have any real chance of victory. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the ruling party since independence in 1961, has never lost an election. It is led by incumbent president Dr. John Magufuli who...
 10. Simon Martha Mkina

  Kampuni ya Landfall Universe Limited yapitisha Sh 1.4 trilioni haramu

  Jamii Forums kama kawaida na timu yake inakusanya nondo. Inafanyiwa kazi. Subiri
 11. Simon Martha Mkina

  Kampuni ya Landfall Universe Limited yapitisha Sh 1.4 trilioni haramu

  Na Simon Mkina Mamlaka za usajili na taasisi za kibenki Tanzania hazitambui kampuni ya Landfall Universe Limited, ambayo imefanya miamala yenye thamani ya Sh. trilioni 1.4 (Dola za Marekani milioni 620) kupitia kwenye akaunti yake ya benki kwa miaka mitatu mfululizo kati ya 2013 na 2016...
 12. Simon Martha Mkina

  Phantom Tanzanian company flagged moving $620 million

  By Simon Mkina Tanzanian company registration instruments, just like the East African country’s banking institutions, are unaware of a firm that has channeled over Shilling 1.4 trillion ($620 million) through its account for three years. The companies’ registrar office in Dar es Salaam, the...
 13. Simon Martha Mkina

  The great Tanzanite surprise recorded

  By Simon Martha Mkina, Mererani Lazaro Lasimi and his colleagues descended hundreds of metres into the earth underneath the Mererani Hills, in Manyara in northern Tanzania. At the bottom of the mine, they dug 57 small holes, carefully placing dynamite into each. Only when they were all safely...
 14. Simon Martha Mkina

  Uchaguzi 2020 Going into the 2020 Tanzania polls: What are the stakes?

  Tanzanian citizens will go to the polls on October 28, 2020, to elect the President, Members of Parliament (MPs) and local Councilors. For close to five years now, Tanzania has been preparing herself for the constitutionally mandatory general elections. Hopes by Tanzania’s ruling political...
Top Bottom