Recent content by simoa

  1. S

    Mahojiano ya Msigwa na Lema KTN: Serikali iongeze msisitizo kwenye somo la Kiingereza

    Tuache maneno vema wanaokosoa hawawezi kuongea hata robo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Mbowe: Hadi sasa zaidi ya Sh. Milioni 100 zimeshatumika kumtibia Lissu. Dereva anaendelea na huduma ya kisaikolojia...

    Sio muda Wa kubishania pesa tunajua matibabu yanagharimu pesa nyingi mno cha msingi mgonjwa apone pesa ni kitu kinatafutwa Ila uhai Wa MTU ukitoka ndo basi tena . Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Mbowe: Hadi sasa zaidi ya Sh. Milioni 100 zimeshatumika kumtibia Lissu. Dereva anaendelea na huduma ya kisaikolojia...

    Mwenyenzi Mungu mwingi Wa Rehema tunakushukuru kwa kila jambo kwa kuwa wewe no mtetezi Wa wanyonge tunaendelea kumweka mikononi mwako mh Tundu Lisu . Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    Mange Kimambi azidi kuwa Maarufu. Kaja na App yake ya Simu.

    Naomba mnieleweshe jinsi ya kujiunga kwenye hiyo application yake mpya
  5. S

    Maandalizi na tendo la ndoa kwa mwanamke aliyekeketwa

    Jamani imenisikitiaha sana kumba kunafanyika kitu kibaya hivi ,sasa kama chuchu Inachomwa mtoto atanyonya nini jamani.
  6. S

    Steve Nyerere aongea na Wanahabari, amkaanga Wema Sepetu na Mama yake, Wasanii hawaidai CCM

    Mambo mengine kama vile maigizo mbona haeleweki ,ukipatwa na tatizo tafakari kwanza ndipo uongee .ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni
  7. S

    Part II: Mapya ya Mjane aliyejitoa mhanga kwa Mh rais

    Hapo panakitu kilichojificha kwa mtazamo wangu naona kama Hutu tapeli alifunga ndoa ya siri na marehemu na marehemu hakuliweka wazi kwa familia yake.
  8. S

    Maalim Seif kutua Arusha kesho kumtembelea Lema gerezani

    Mungu endelea kumtia moyo Mbunge Lema hakuna kisichokuwa na mwisho.
  9. S

    Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    Lisu uko sawa Pesa zetu sio za serikali
  10. S

    Zitto: Tumepigwa cha juu katika ununuzi wa ndege mpya

    Serikali isema lolote hapo
  11. S

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Kila MTU aamini anachujua Mungu ni kitu kingine kabisa.
  12. S

    Tundu Lissu afikishwa mahakamani, Mawakili wa Jamhuri waomba wakili wa Lissu awe shahidi wa Jamhuri

    Kwa ufupi kumkamata MTU kila wakati na vyombo vya habari kutangaza ni kumfanya huyo mtu awe maarufu sana kama ingewezekana wange waacha hao Chadema wafurukute mwishowe wangetulia wenyewe tu kuliko kuendelea kuwakamatakata
  13. S

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Dadi Faki Dadi afumaniwa na mtoto wa mkewe

    Kama ni aibu huyu jamaa kaipata ee Mola tusamehe .
Back
Top Bottom