Recent content by Simburya

  1. S

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyopimwa Mkuranga-Kitonga

    Viwanja bado vipo kwa anayehitaji tunaweza kuwasiliana..
  2. S

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyopimwa Mkuranga-Kitonga

    Hello Mkuu Kuhusu barabarani ipo inayofika hadi kwenye viwanja. Umeme na maji pia yapo 2.5km.. Ila ni sehemu inayokua hivyo haitakuwa taabu huduma kufika kwenye makazi. Note ;Eneo lipo 2.5 kutoka barabara ya rami. Aksante
  3. S

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyopimwa Mkuranga-Kitonga

    Hello Mkuu.. Saizi ndogo vinaanzia sqm 560 hadi sqm 1500. Karibu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mradi wa upimaji viwanja-Mkuranga

    Asante mkuu. Kwasasa haitakuwa rahisi tena kupima eneo kwa mtu binafsi kama tulivyofanya sisi hadi Mh. Waziri atakaposema vinginevyo. Sisi pia tulutamani kufanya project kama hizi nyingi ila haitawezekana kwasasa. Kama nilivyoleta uzi huu kuwa taratibu za kupima zikichukua mzunguko mrefu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyopimwa Mkuranga-Kitonga

    Viwanja bado vinapatikana
  6. S

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyopimwa Mkuranga-Kitonga

    Habari zenu wadau Niliwahi leta uzi kuhusu project ya viwanja na leo nimeleta mrejesho kuwa Mungu mwema mradi umekamilika na vipo sokoni. Uzi wa zamani unaweza kuuvuta hapa. Mradi wa upimaji viwanja-Mkuranga Pata viwanja vya makazi, makazi biashara na biashara. Vipo Kutonga wilaya ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mradi wa upimaji viwanja-Mkuranga

    Hello Rene Kwa sasa hatuna kampuni sisi ni watu binafsi.Tuna ndoto za kufungua kampuni ili tuwe formal zaidi. Asante QUOTE=Rene Jr.;14760505]Safi sana, kampuni yenu inaitwaje?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mradi wa upimaji viwanja-Mkuranga

    Asante Mkuu kwa ushauri wako..
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mradi wa upimaji viwanja-Mkuranga

    Heshima mbele wana JF, Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa maada katika jukwaa hili,Kwa sasa nimeona vyema kurudi jamvini kueleza maendeleo ya project yangu na inaweza kusaidi kupata msaada mkubwa wa mchango kwani naamini hapa ni kitovu cha taaluma na ujuzi wa mambo na pia watu wanaweza kujifunza...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2015: Ni Mbio Za Magari Kati ya Mkweche na Mashine Mpya!

    Sasa mbona dereva mpya gari linaonekana kumshinda wangu!? Ama alikosea akapita barabara nyingine?!! Ama tuendelee kusubiri??
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Shule ya Msingi na Sekondari: Utaratibu wa Kiserikali, Ushauri, Changamoto na Faida

    Wapendwa nimeamua kuendelea na wazo la kuanzisha sekondari ingawa ni nimenunua wazo la chuo bado nalifanyia kazi. Kwa sasa ninaendelea na project ya kupima eneo langu ambalo pamoja na viwanja vya makazi na makazi/biashara pia nimeweka shule ya sekondari. Mauzo ya hivi viwanja yatawezesha...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nauza ticket ya ndege Dar - Kili - Dar

    Habari #acacia7114 Mimi huwa naona kwenye tiketi unaandikwa ni non transferable?? Ofisi za fastjet walikupa mwongozo upi rafiki?? Muda mwema
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Shule ya Msingi na Sekondari: Utaratibu wa Kiserikali, Ushauri, Changamoto na Faida

    Asanteni wadau #Dzudzuku #Connections #magnificient #percival #zavi #Cyberteq #lady furaha #Babu kizee #papa yna #dibundile na #Sam Love Asanteni na naendelea kupokea mawazo, muwe na muda mwema.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Fleckvieh Bree

    Hello #Chasha , Asante kwa updates, Nilikuwa natamani kufahamu gharama za wao kuwaleta kwa ng'ombe mmoja na kama inawezekana kupata contacts zao. Asante mkuu.
  15. S

    JamiiForums Tanzania NMB mobile jamani

    Mimi nadhani #Binary ameeleza alichokutana nacho kama mteja ambacho watu wengine pia kinawatokea.. Hiz huduma za Simbanking,nmb mobile na zinginezo ni nzuri maana zinasaidia kuokoa muda kwa kufanya mihamala bila kwenda benki ila zinapaswa ziboreshwe. Wateje warejeshewe fedha zao kwa wakati...
Back
Top Bottom