Recent content by simbilisi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Albert Msando EATV kwenye mikasi!

    Mkamap right on! I hv waited so long atokee mtu ndani au nje ya ccm, upinzani n.k ambaye ata analyse matatizo ya watanzania, sioni, naona uwezo wetu ni kuiponda tu ccm
  2. S

    JamiiForums Tanzania Anaekataa malipo ya kazi anaishije? anapata wapi hela za kujikimu na kusaidia wananchi wake?

    somebody help this poor guy
  3. S

    JamiiForums Tanzania Anaekataa malipo ya kazi anaishije? anapata wapi hela za kujikimu na kusaidia wananchi wake?

    na hapa sio wabunge tu, kila mahali ,kama unalipwa mshahara wa mwezi why give u sitting allowance for the same task that.u r being paid monthly
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    mtaishia kusema daftari....mmejiharibia, Arusha mmefanya vibay sn, mmetiwa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa CCM: Kutimilika kwa Unabii...

    hata kuandika hauwezi, unaboa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Temeke adai alitekwa na mwanaCHADEMA mwenzake, CHADEMA yataka Polisi ichunguze

    Ben saanane Tumbo joto, usipitajwa hapa nakacha JF
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kibatala: Ufafanuzi kuhusu yaliyojiri katika Shauri la Zitto Vs Baraza la Wadhamini, CHADEMA

    KIBANGA Ampiga Mkoloni Hivi mbona unajibu wewe na sio Lissu?? yuko wapi hivi hauoni tu aibu kupakanapakana mafuta na kueleza story nyingi huwezi kmhukumu mtu kisha ndio umsikilize, acheni uouuzi huu, msifikiri kila mtanzania ni mjinga, kama mmewapata hao wanaoiwashabikia hili hali mko uchi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    rip cdm
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wassira A Visionary Leader Aliyaona yanayotokea CHADEMA

    CCM ndio waliomtuma Mbowe akachukue hela kwa rostam na mkono CCM ndio waliomtuma slaa mpaka leo kuonekana mzinzi na mpoki wa wake za watu CCM ndio walioituma KK ya CDM kufanya maamuzi dhalimu na yasiyoingia akilini kiasi cha kudharaulika na wote jamani tuwe wakweli, Mbowe, slaa hawakiwezi chama
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe angekuwa hana mapungufu Zitto angeng'oka CHADEMA bila athari Yoyote.

    so una support kitu alichofanya saanane kwa Yona Temeke, ataua sana watu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Albert Msando: Hatushindani na chama au wanachama wa CHADEMA

    Msando uko vizuri, potezea wahafidhina hawa
  12. S

    JamiiForums Tanzania Najikuta naanza KUIKUBALI CHADEMA..!

    Hopeless huwezi kupenda chama cha wazinzi wewe no wonder ufufuo na uzima kuna tuhuma kibao za uzinzi
  13. S

    JamiiForums Tanzania Najikuta naanza KUIKUBALI CHADEMA..!

    zilipendwa Hii article ilikuja siku nyingi humu na Mnyika, slaa na lissu walikataa kuwa hawahusiki..............umesikia Pili kama mna hakika na hizi tuhuma, basi zingewekwa kwenye zile tuhuma 11 ambazo zilikuwa very weak tatuSIO WEWE, WALA CHADEMA, WALA CCM, WALA MAFISADI AMBAO WANAWEA...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

    Wewe mchaga?? wenzako waliingia kwa mbwembwe kama hizi unachofanya ni utapata ubunge, ruzuku itaongezeka wenzako wanapiga hela........ Mbowe hata umpe ikulu hii na kiti cha urais hiki...............HANA MPANGO WA KUWA RAIS,
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Temeke adai alitekwa na mwanaCHADEMA mwenzake, CHADEMA yataka Polisi ichunguze

    Ben saanane plz, kaombe msamaha au kammalizie you are The serial killer young boy
Back
Top Bottom