Tanzzania kuna mambo yani kama mtt wa geti kali akiruhusiwa kila mchezo anautaka yeye kuu cheza sasa swala la madawa liliishia wap kwanza?Bashite jee?sasa tupo zetu Znz kukata umeme Muvi lnaendelea
Hiz mambo za vyeti wangesema na mm sina vyeti kwa nlivosoma kwa tabu wallahi ninge vipost Instagram Facebook Tweeter Tango Tikiti na kuwa tag woote wanao sema sina hata kipindi kwenye tv ningekopa kuwe na tangazo la vyeti vyangu sijui kwann Daudi hafanyi hvo kuwakomoa :D:D:D:D:D:D
mpaka sasa sijaona kosa la kufanya Gwajima akamatwe kwakweli maana kama vyeti au CV ya bwana Daudi kama inauongo mwenyewe aje atoe ufafanuz mbona jambo rahis sana hata Mh Zitto ashawah pewa hyo kwe Kampeni na akatoa vyeti vyake WHY DAUDI TOOK HIM SO LONG TO PROVE????????????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.