Hivi leo ndio mwisho wa zoezi la uhakiki wa vya kitaaluma kwa watumishi wa umma?

nyocksie

JF-Expert Member
May 10, 2015
403
260
Kama kumbukumbu zangu zipo vizuri, Nafikiri hii kauli ilisikika kutoka kwa waziri wa utumishi wa umma. Kauli hiyo ilisema kua Leo Tarehe 01.03.2017 itakua mwisho wa uhakiki na kwa wafanyakazi ambao hawajawasilisha vyeti watachukuliwa hatua.
Kumbukumbu zangu zinaweza zisiwe sahihi....Na kama wewe unakumbuka kauli sahihi naomba utujuze.
 
Ila bwana Daud is a Special Case yeye hata mwez wa nne itabid ahakikiwe tuu hakuna namna
 
Back
Top Bottom