Recent content by Simba Mwema

  1. S

    Nimesoma utangazaji na Uandishi wa Habari, natafuta kazi

    Dunia sasa inahitaji uwe Multi purpose, Jifunze soft skills,, utanishukuru baadaye
  2. S

    Nimesoma utangazaji na Uandishi wa Habari, natafuta kazi

    nitafute kwa namba 0764 22 8384 NB uwe unaweza vitu vifuatavyo photo journalism video production video editing graphic design for print and electronic media
  3. S

    Orodha ya Miji yenye hadhi isiyostahili

    Mara ya mwisho kutembelea Singapore ilikuwa lini?
  4. S

    Wahudumu wa hotel, Bar na migahawa Tanzania wana shida gani?

    Mimi huwa nashangaa mtu anafanya uwekezaji mkubwa halafu ,anaenda kuokoteza tu wahudumu ambao hawajui wanachokifanya.
  5. S

    SoC04 Miaka 5 /10 ijayo tunataka kuona mitaala ya elimu ya juu kusukwe upya ili imwezeshe mhitimu kuwa na ujuzi unaomwezesha kujiajiri/kujiajiri

    Elimu ni nyenzo muhimu saana kwa mwanadam kupambana na mazingara yanamzunguka. Ikiwa elimu hiyo haimwezeshi kupambana na mazingira hiyo elimu inakuwa kiwazo kwake hivyo humpatia mazingira magumu saana. Zamani mababu na mabibi zetu waliweza kufundisha vijana kwa kuwapatie elimu kwa vitenda ili...
  6. S

    Mkufunzi anayeitwa Majura anaenda kukiharibu chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy

    Gen Z. Soma, fuata taratibu, wasilisha "assigments" kwa wakati, wahi darasani, naa MWISHOOOO ACHA KUTAFUTA HURUMA KUFELI UNAFELI WEWE KUFUALU UNAFULU WEWE, HAKUNA CHA KUFELISHWA WALA KUFAULISHWA WAKO KATIKA UJENZI WA TAIFA MAJURA HAPA NAKUSALIMU
  7. S

    Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

    Upuuzi mtupu, meneno mengi hakuna dhima hata moja,.
  8. S

    Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

    Ukihonga kesho yake unajikuta na buku 7 ,,,ni kujilaumu mtindo mmoja
  9. S

    Uhusiano wa Kristo na Krishna

    Sawa umeangalia hiyo movie ya Krishna ,,sasa ndio umfananishe na Yesu Kristo????
  10. S

    Mwenye kujua dawa ya kupunguza hamu ya tendo la ndoa anijuze

    Fanya mazoezi, jishughulishe , usipende kukaa peke yako maana mawazo huanzia hapo, epuka vijiwe vyenye stories ya mademu, .. yote kwa yote bado hujapata majukumu, ukipata hiyo hamu itakuwa mbali kama mbingu na ardhi
  11. S

    Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

    Si ndio anajipulizia ndio anenda kujenga nchi au???
Back
Top Bottom