Recent content by Simba chai

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nyaraka za Siri za Epstein: Kisiwa cha Mnemba kama 'Uchochoro' nchini Tanzania

    Mambo ya Zanzibar yanakuhusuni nini.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini sasa hivi Wazanzibar hawataki tena Serikali Tatu?

    Wacha iyo serekali tatu wazanzibari ata huo muungano wenyewe hawautaki.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: ACT Wazalendo, ilikutana na Tume ya Jaji Chande na wakaomba isipigwe picha?

    Safi sana ACT nyie ndo chama kikuu chaupinzani.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ninaapa kwa Jina la Mungu aliye hai, Mahakama ya ICC inatoa Arrest Warrant ya Samia ndani ya mwaka huu. Serikali ijiandae kwa transfer of power

    Kama hajapelekwa Trump na Nyetanyahu basi Samia haendi popote.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hofu ya watanzania wengi: Je, 2030 baada ya Rais Samia kumaliza awamu yake CCM wataweza kuleta Rais mzuri kama Samia kweli?

    Rais Samia ndokwanza anahudumia muhula wake wakwanza kwaiyo tukonae mpaka 2035
  6. S

    JamiiForums Tanzania Bila Samia, Taifa Stars wasingefuzu

    Ni kweli magoli ya mama yamesaidia sana kuongeza morali ya wachezaji, Hongera mama mi5 tena tuko nawewe mpaka 2035,
  7. S

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu Ndio Tumaini na Mzalendo Namba Moja Aliyebakia Hapa Afrika ambaye hata mabeberu wanamuogopa

    Mama wa shoka kiboko ya mabeberu na mapandikizi yao.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Samia, Lissu amekukosea nini?

    Naona Lissu ndio angeulizwa Samia kamkosea nini alimpa kilakitu (Pesa,kumrudisha Tanzania, kufuta kesi zake zote, kumfungulia afanye siasa) lakini fadhila yake nikumtukana na kumdhalilisha Samia.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya Xiaomi 15T na Samsung A56 ninunue simu gani

    Chukua 15T
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi inabidi awekwe kwenye vitabu vya Historia ya Nchi yetu

    Labda historia ya udhalilishaji, yani mtu juzi alikua ananunua nyuchi zawatu leo awe shujaa?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Waliojiweka madarakani bado wana kiburi. Kwanini wameendelea kuteka, kumficha Polepole na kesi ya Lissu imewekwa kapuni?

    Kwani Mh Polepole alirudi lini nchini? Na uyo Lissu ana kesi ya uhaini ataachiliwa vipi.
  12. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA yatangaza kutoitambua Serikali ya Tanzania

    Wao kama nani
Back
Top Bottom