Wakubwa wenzangu wa BRN tupunguze hizi mambo za kukoseakosea spelling..
Sasa hapa mwenzangu huyu sijui kaandika nn...
bira-bila
compitition-competition
apana-hapana
akuna-hakuna
anaeilewa-anaeielewa.
Halafu BRN ni acronym ,should be in capital letter. Et huyu nae...
Wakubwa mm nna swali, Hivi humu katika hii thread yetu hakuna dadaz ambao ni continuing? wa Udom i mean,coz sioni hata wakituelekeza wadogo zao namna ya kutunza boom zetu kuepuka vishawish na nin.. Tunawaona wakina mbaruku tu na wengine. Kwa kifupi andika za dadaz zinajulikana. hata ajikaze vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.