Wakati wa kuomba mkopo kuna account tulifungua : OLAS ndiyo hiyo tuliyotumia kuomba mkopo.
Kwani wewe uliombaje mkopo.?
Pafuada
Password Mbona sikumbuki

Ingawa bado wanaendelea ku-process,mikopo tayari&baadhi wamexajua.
Wakuu hakuna yeyote aliyeingia akapata % kadhaa atuletee mrejesho isije ikawa ni maandalizi tu!?
mie nimeingia iko hvo
Jaza form hizo,uzi submit tena. haukumaliza kujaza.
vp hapo???
Mkuu au form ya mkopo haikujazwa ipaswavyo? Ulfuatria malekebisho?
mbona form ya mkopo tulijaza vizuri na hata yalipotoka majina ya waliokosea wanatakiwa kuedit mm sikuwepo lakini bodi wanasema form in complete tatizo nn???
basi wasome watoto zao tuu!
Dah!, Pole aisee. Tafuta namna nyingine,huo sio mwisho bado tarehe zinasoma. ule ni mkopo tu, sio lazima uwakope wao kuna NGOs kibao. Chamsingi fanya faster.