Tanzania ni moja na Watanzania wote ni ndugu. Hivyo tunaimizwa kuendelea kuguswa na namna ileile na athari zilizowapata Watanzania wa mkoani Kagera.
Bhass kila mwenye kuguswa aunge mkono jitihada za Serikali kwa kuchangia chochote kwenye Akaunti ifuatayo:-
jina la Akaunti:- KAMATI YA MAAFA...
Mwenyezi Mungu akamshindie DAVID KAFULILA.
Taifa linamuhitaji sana maanaa ni kijana Mzalendo wa dhati kwa taifa lake.
#NINAMUOMBE USHINDI KATIKA KESI HII.
Mwenyezi Mungu akamshindie DAVID KAFULILA.
Taifa linamuhitaji sana maanaa ni kijana Mzalendo wa dhati kwa taifa lake.
#NINAMUOMBE USHINDI KATIKA KESI HII.
honestly; siko na imani kabisa na Jeshi la Polisi katika ili.
Kamanda ningemuelewa kama angeniambia kuwa wao kama POLISI pamoja intelijesia yao huku wanashirikiana na MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA YAANI (TCRA) wanachunguza Kwa pomoja ili kuweza kuwabaini na kuwakmata wale wote waliohusika...

kwa hiyo kama ametekwa na kunyanganywa form ndiyo mwisho wake kugombea ubunge au atapewa nyingine za kumhalalisha kuweza kugombea ubunge?????? #msaada katika ili tafadhali.
Nampa pole nyingi sana KOREA KASIKAZINI maana raia wasiyo na hatia ndani ya Korea Kusini na hata Korea Kasikazini hasa zaidi zaidi ndani ya Korea Kasikazini wataumia pasi sababu za msingi.
Acha movie iendelee na mwisho wake tutauona tu.
wakati ukiwadia kunakuwa hamna namna!!!! "HOFU NA SHAKA ONDOA, CHA MSINGI TUNZA #KICHINJIO CHAKO, NA HAMASISHA NA WENGINE PIA WAVITUNZE NA SIKU YA TAREHE HUSIKA BHASS FIKA NAVYO SEHEMU HUSIKA KUTENDA JAMBO ZITO NA LA KI-HISTORIA."

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.