Recent content by sililomt

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kila shirika la umma limuige Mkurugenzi wa Shirika la Reli

    Tuliambiwa maneno matamu kwenye Twiga arukae ngoja tusubiri tuone maana hata wale twiga wengine hatujui hata lini wanakuja
  2. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Harrison Mwakyembe umewazima watu midomo! Aisee kweli umdhaniae kumbe siye

    Tena waziri anafanya vizuri kufungua magazeti
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mke wa Kafulila abadili jina lake facebook

    Mmesahau makongoro nyerere,hizo ni siasa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jesca Kishoa umekiuka Mila Za Kinyiramba

    Mfumo dume
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jesca Kishoa umekiuka Mila Za Kinyiramba

    Mfumo dume
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wasafi wanahamia CCM, wachafu wanahamia CHADEMA

    Wangapi waliopokea viroba vya hela ya mboga wapo CCM, au ufisadi wao utaanza wakiwa nje ya CCM, hao hatuwaongelei,tuwe 'fair' tunapojadili mstakabali wa nchi ,wapo waluotajwa meli zao kusafirisha meno ya ndovu hatuwazungumzii kabisa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA achaneni na watu waliokula wakasaza CCM jikiteni katika kuibua na kujenga vijana vyuoni na ndani ya chama

    Wale wa kadi 800 wa Dodoma juzi ni wanafunzi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Wa ACT-Wazalendo Mkoa Wa Dodoma , Weston Kaduma Na Wanachama 800 Wahamia CCM

    Watu 800 au kadi 800,tuache uwongo, mkutano wa kuwskusanya watu kwa idadai hiyo kwa maisha ya sasa hakuna
  9. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Wa ACT-Wazalendo Mkoa Wa Dodoma , Weston Kaduma Na Wanachama 800 Wahamia CCM

    Acheni uwongo,hicho kijiji kuwa na watu 800 au mliwabeba kwa malori
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Majizi yamehamia CHADEMA

    Wale wa hela ya mboga wapo chama gani? Naomba msaada
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwa usajili unaofanywa na CHADEMA, isahau kuchukua nchi

    Mbona wasira alishahukumiwa kwa kutoa rushwa na mahakama na bado akateuliwa kuwa MBUNGE na waziri?hii ni siasa Leo mzuri kesho mbaya na kwenye siasa hakuna adui wa muda mrefu ila maslahi ndio msingi
  12. S

    JamiiForums Tanzania CCM Singida: Sababu zilizomfanya Nyalandu kujindoa CCM ni hasira za kukosa Uwaziri

    Imewagusa ,kwa hiyo waliotoka act kuja CCM nao wanefuata nn
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wahariri wa Magazeti hamjamtendea haki Rais wetu mpendwa

    Kumbe wana Lumumba imewaums
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wana JF, Tutofautishe Kati ya Kusema Uongo na Kuteleza Ulimi, Rais wa TZ Hawezi Kusema Uongo, Labda Kuteleza tuu!

    Zidumu fikra za mwenyekiti,fikra zingine zote ni uwongo mtupu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Bashir Yakub: Tundu Lissu japo unaumwa lakini umeshindwa

    Kina nani wametufikisha hapa ?
Back
Top Bottom