Recent content by silent lion

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia hii ramani lazima utawasupport Israel wako sahihi

    Israel kama Israel hana mpango wowote , shida ni Marekani
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wakuu h-pylori itanimaliza

    Meza vitunguu thomu punje 3 kila siku
  3. S

    JamiiForums Tanzania Inaonekana Tasnia ya Muziki ina siri nyingi na machafu mengi sana

    Hio ni kazi ya shetani lazima iwe na machafu mengi, chukulia mfano harmonize alivompakata nicole joe berry akiwa na chupi tu ya bikini
  4. S

    JamiiForums Tanzania Iran yakubali tena Mazungumzo na Marekani baada ya Trump kutishia kuwaangamiza

    Ahsante Malkia Zumaridi mke wa Netanyahu kwa taarifam
  5. S

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Mtu kufanya kazi ya wakala

    Na mm ntamuongeza elfu 10 iwe laki kamili
  6. S

    JamiiForums Tanzania Saudi arabia ardhi ya Tawhid inaenda kuomba msaada kwa israel wasaidiwe ulinzi wa MECCA na madina. ni aibu kubwa sana kwa Allah na Quran

    Ww kafiri kua na adabu, heshimu dini za wenzako. Saudia ni wanafiki tu hawawakilishi waislamu wala wao sio dola ya kiisalumu. Kua na adabu au ukizaliwa nje ya ndoa?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hatujafanya chochote anataka nimtolee posa

    Sasa kosa lake liko wapi. Kama unampenda katoe posa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu juu ya Mazishi

    Mnapenda kuweka wafu tu. Mtu akishakufa dawa yake kubwa ni kumzika tu usijidanganye, kwani maiti ni maradhi tu hana chengine
  9. S

    JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuishambulia Israel Je wataweza?

    Iran 🇮🇷 sio Venezuela wala sio Iraq. Mziki wake si wa kitoto. Hao mabwana zenu kazi yao kubwa ni kuua wanawake na watoto.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuishambulia Israel Je wataweza?

    Wee bwabwa aweze mara ngapi wakati alishaipiga israhell kama mbwa koko
  11. S

    JamiiForums Tanzania KERO Tusaidieni kupaza sauti yetu dhidi ya vitendo vya rushwa ya ngono na unyanyasaji Vyuoni

    Hili ni jambo la kukemewa na jambo la kulikomesha lakini na nyinyi angalieni mavazi mnayovaaa huko vyuoni.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Miujiza Nepal; Sanamu ya Budha yabaki imesimama imara katikati ya Mafuriko makubwa!

    Ni muujiza kweli kutoka kwa Mwenyezi Mungu kuwaonesha kuwa hayo masanamu hayana nguvu yoyote
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi

    Huyo Mange alokua anauza picha za utupu za watanzania na kudhalilisha na kutukana watu matusi ya nguoni, Leo hii akawe ndo Rais una akili ww
  14. S

    JamiiForums Tanzania Makosa makubwa sana yalifanyika 2015 pale Dodoma kumpa nafasi Magufuli na kumuacha lowassa

    Shida ya Magufuli ni kwamba alikua na zero tolerancy dhidi ya upinzani , yeye ndie aliua demokrasia na kuturudisha enzi za Mwalimu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Apata mimba ghafla akiwa madhabahuni kwa Mwamposa

    That's blasphemy
Back
Top Bottom