Recent content by Silent Burner

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania hosts 20,000 Rwandans in Kigoma, Kagera, Ngara etc alone

    Ooohhhhh no!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete Ziarani Japani

    Uchuro huo .... Nothing bad will happen.
  3. S

    JamiiForums Tanzania ‘Kikwete’s remarks on FDLR shocking’

    Juzi Kagame alipohojiwa na BBC alisisitiza kuwa mazungumzo ya amani yapewe nafasi badala ya nguvu za kijeshi. Alimaanisha Tz itoe nafasi kwa M23 waongee na Kabila kwanza, wasipoelewana ndo walazimishwe kijeshi. Cha kushangaza anapoambiwa aongee na wabaya wake FDLR kabla haijaamuliwa nao wadundwe...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yanga sc v/s Azam fc National Stadium,Simba sc v/s Mtibwa sugar Manungu

    Leo ushindi upo kwa Simba.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Harambee Ya Mjane Wa Daud Mwangosi; Waliochanga Na Kiasi Kilichopatikana Hadi Sasa...

    Majjid, sahihisha kiasi cha pesa kwa maneno, hakiendani na tarakimu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Malawi likely to win lake row with Tanzania at ICJ, Says University Historian

    Ipo mito 18 ya tz inamwaga maji Ziwa Nyasa. Maaumizi yeyote yatakayolitoa ziwa lote kwa Malawi yatahalalisha tz kuzuia maji ya mito hiyo yasiende huko. Tutatengeneza mabwawa elfu kumi na kuyaelekeza huko tuone kama hilo ziwa litaendelea kuwepo.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Wakuu, ngapi ngapi?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Walioko National kwenye mtanange wa leo tunaomba updates.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Comoro na Darfur: Hivi JWTZ wanafundishwa kuogelea??

    Inapotokea gari lolote lenye watu ndani limesombwa na maji ghafla, hata wanaojua kuogelea kama wako ndani wanaweza wasiweze kujiokoa kwa kutegemea ujuzi wao huo wa kuogelea kwa sababu huenda wasiweze kupenya kutoka nje au wakatoka wamejeruhiwa wasiweze kuogelea. Vivyo hivyo kwa gari la kivita...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Sio mbaya, matokeo yeyote sawa tu, yatakuwa yameonesha jinsi tulivyo. Hii ni mechi nzuri ya kumwezesha kocha kujua mapungufu ya timu yake kabla ya mambo mazito kuanza.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Shukrani nyingi sana kwako Masuke.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Jamani uwanjani national leo hakuna mwana JF???
  13. S

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    SIMBA v/s SOFAPAKA - Wakuu mlioko uwanjani tunaomba updates. tunatanguliza shukrani
  14. S

    JamiiForums Tanzania Dokta Slaa aitisha Press Conference Iringa!

    Hamna jipya ....Usanii as usual.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Museveni promotes son to brigadier

    Watz ni wapiga kelele saana na mabingwa wa kulalamika. Sijui iwapo mfumo huu wa wazi wa kupeana ujiko kifamilia katika nafasi nyeti kiungozi ungekuwepo tz hali ingekuwaje ..............si ajabu watu wangeacha kulalamika na kuamua kujinyonga.
Back
Top Bottom