Tendo LA kwenda msibani kuaga mwili tayari ni kumlilia. Ni maana pana. Si lazima machozi. Kuna makabila eg wajaluo Siku ya msiba mfiwa aliyepoteza mke/mtoto ndo mgawa chakula kabla/baada ya maziko. Hapa napo utasema hajamlilia mkewe? Anamlilia japo anaendelea na maisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.