Changamoto zipo na hilo ni swala la mtandao na sio Serikali. Na si kweli kuwa pesa inachelewa kama wanavyodai. Ni kama Mpesa, Tigo pesa. Asilimia nyingi ya pesa ni mtu anakwenda kukatia ticket ofisini ambapo Mfanyabiashara anaishika pesa mkononi, ni tofauti na anaekatia kwenye mtandao. Hata...
Kama hujui biashara ya mabasi ni bora usiongee. Unajua ni kiasi gani wanachukua wapiga debe kwa kila ticket? Mfano kwa basi za Dar-Mwanza wapiga debe wanachukua mpaka elfu 7 kwa kila abiria. Kuna basi boss anataka Elfu 37 kwa kila ticket na zingine Boss anataka elfu 35 kila ticket. Na nauli ya...
Ulishawahi kufanya biashara? Serikali haikusanyi pesa za wafanyabiashara ila inaweka system kutaka kujua ni kiasi gani wanapata ili kwenye kulipa kodi iwe rahisi kujua pasipo kuumizana, Ukienda TRA kulipa wataangalia gharama za uzalishaji ampapo watazitoa na kuangalia faida ndio wanachukua...
Kwa hiyo ww unatakaje sasa? Tubaki analogy au tuingie digital?
Mbona wafanyabiashara wengine wanatumia EFD? Wao inashindikana nn kutumia? Mbona ww ukienda dukani kununua bidhaa unapewa resit ya EFD na unaichukua? Shell zote wanatumia EFD machine na hata maduka ya dawa, Wao wanaogopa nn au ww...
Upembuzi ulishafanyika toka enzi za JK hajaondoka madarakani, haya ni marudio wanayofanya Sumatra na hatuwezi kuwa kila siku tunaongea jambo lile. Kama Dar lux na Shabiby wanatumia huo mfumo kwa nn hawa wengine wasitumie? Kama una kumbukumbu Mwanzoni mwa 2016 kuna kampuni nyingi zilikuwa...
Watanzania mbona ni wagumu kuelewa? Kama ulishawahi kufanya biashara yoyote ambayo inatoa resit ya EFD ni kama hiyo biashara ya mabasi, hakuna jambo jipya hapo, wenye mabasi hawana tofauti na wafanyabiashara wa Spare, Maduka ya redio, Maduka ya Simu, Pumbling n,k. Mambo ni yale yale EFD inatuma...
Kwa hiyo mpka sasa hujui magari yanazalishwa kulingana na mahitaji yako. Japani inatengezeza magari ambayo ni RH kwa nchi za kusini mwa SADC ili hali yenyewe ni LH, lakini pia inatengeneza LH kwa nchi zinazotumia kama Rwanda, Burundi, Kongo na hata Marekani. Kwani huzioni Cruiser LH zipo Rwanda?
Acha porojo, Msigwa ni Mbuge wa Iringa mjini, Kwani Hujui kwani hayo majimbo mengine hayana mbunge wa kuhamasisisha mpka Msigwa?
Ukiambiwa hivyo vitambulisho vilivyotolewa kwa Iringa 70% vimetoka kwenye Jimbo la Msigwa utafanyaje? Na una ushahidi gani kama Iringa ina wamachinga 60 elfu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.