Recent content by Silas Kabhele

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo, taifa linahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu (dikteta), si mwenye kubembeleza

    Itachikua miaka mingine 30 hadi 35 kupata mzalendo mwingine. Tufunge mikanda tu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

    Kama uko eneo la Jiji nenda kwa Daktari wa Jiji, na kama uko eneo la Wilaya neda kwa ofisi ya Mganga Mkuu wa Wilaya utapata maelezo ya mahitaji ya kufungua zahanati. Kadhalika kama unataka kufungua maabara, onana na msimamizi wa kitengo cha maabara katika hospitali ya Jiji au ya Wilaya utapewa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Usalama barabarani

    Balabalani ni kule ambako watu wa kanda maalum wanaita barabarani.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Usalama barabarani

    Kwa kuwa kitengo cha polisi cha usalama barabarani ni nyeti sana kama vile Magereza, ili kukiimarisha zaidi, iko haja ya kuwa na chuo cha askari wa usalama barabarani kama vile ilivyo kwa askari Magereza. Hii itawezesha askari wetu wa usalama barabarani kuwa na maarifa mapana zaidi ya kutusaidia...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani ya kufanya udahili NACTE??

    Ninavyofahamu mimi, Hakuna kozi ya Advanced Diplma anaesthesia kwa Clinical Officer. KCMC ni moja ya kati ya vyuo vinavyotoa kozi za anaesthesia. Wakati fulani Bugando pia walikuwa na kozi hizo kama on job training.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari tujulisheni maendeleo ya balabalani za Kigoma

    Vyombo vya habari hususani redio na runinga havizungumzii ugumu wa Usafiri unaowakabiri wakazi wa Kasulu, Kibondo na Kakonko hususani ubaya wa balabala misimu hii ya mvua. Tunaishukuru Serikali kwa kuanzisha ujenzi wa balabala hiyo katika baadhi ya maeneo, lakini, niombe redio na TV visaidie...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya HIV Tanzania?

    Takwimu za kiutafiti hazihitajiki saaaaaana, hasa ukijua kuwa njia kuu ya kusambaza VVU katika nchi yetu ni uzinzi na uasherati. Kwa sababu hiyo nashawishika kuchangia kuwa viwango vikubwa vya maambukizi katika mkoa wa njombe na maeneo jirani ni viashiria vya tabia hatarishi walizonazo wakazi wa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sifa za kujiunga na kozi za afya 2017/2018

    Inaelekea sifa za kujiunga na kozi za afya ngazi ya cheti (certificate) kwa fani ya uuguzi na uganga hazifanani. Kwa kozi ya uuguzi na ukunga ngazi ya cheti mwombaji anatakiwa awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu wa masomo manne ikiwemo ufaulu wa alama C kwa masomo ya biology na chemistry...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sababu za serikali kubadili sifa za kada za afya

    Hali ilivyo ni tete kwa vyuo vya uuguzi ngazi ya cheti visivyo vya Serikali. Hadi sasa tukiwa tunakaribia muda wa kufunga dirisha LA maombi, hawajapata waombaji kwenye sifa mpya zilizotangazwa za CCDD, je, huoni kama kuweka sifa za kufanana kwa diploma na na cheti ni mkakati wa makusudi wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ramani ya jiji la Mwanza 2012.

    Tafadhali kama una ramani ya Jiji la mwanza mwaka 2012 inayoonesha kata za wilaya zote mbili zinazounda Jiji, tafadhali nisaidie kupitia hapa jamii forum au kwa email hii, kabhelesilas@hotmail.com Asante sana Silas Kabhele
Back
Top Bottom