Silas Kabhele
Member
- Jul 9, 2016
- 11
- 7
Inaelekea sifa za kujiunga na kozi za afya ngazi ya cheti (certificate) kwa fani ya uuguzi na uganga hazifanani. Kwa kozi ya uuguzi na ukunga ngazi ya cheti mwombaji anatakiwa awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu wa masomo manne ikiwemo ufaulu wa alama C kwa masomo ya biology na chemistry, wakati kwa uganga (clinical assistant) pamoja ni kidato cha nne na ufaulu wa alama D (tano) zikiwemo za masomo ya sayansi yote matatu.
Je, kwa nini sifa zisiwe za kufanana wakati wote wanapohitimu wote wanapewa cheti yaani certificate?
Silas Kabhele
Je, kwa nini sifa zisiwe za kufanana wakati wote wanapohitimu wote wanapewa cheti yaani certificate?
Silas Kabhele