Recent content by silas a m gabayara

  1. silas a m gabayara

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Haya majani ulikuwa unachemsha?
  2. silas a m gabayara

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Asante sana mkuu kwa nafasi na ushauri unaoendelea kuutoa hapa. Mimi nimeangaika sana kwa muda mrefu mwili wangu ni dhaifu sana maumivu kila sehemu kichwa, mgongo na hata wakati mwingine tumbo pia linauma bila kuvuruga ila kama kuna kitu kunatambaa, sasa mbaya zaidi sehemu ya aja kubwa nikipush...
  3. silas a m gabayara

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Niko na shida ya muda mrefu kupata choo kuna muda inakuwa kavu sana lakini pia mkojo nakojoa ila unatoka kwa unyonge sana, choo kubwa pia kuna muda napush mpaka naona sehemu ya aja kubwa inavimba kidogo kwa ajili ya kupush mzigo. Naomba anayejua ni dalili za nini anijuze
  4. silas a m gabayara

    JamiiForums Tanzania Daktari: Wapeleka watoto wanaokoroma hospitali kupata matibabu kwani kukoroma ni ugonjwa kama magonjwa mengine

    Magonjwa yataibuka ya kila aina kweli ndio wakati wake huu [emoji1374]
  5. silas a m gabayara

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Appendex/ Kidole tumbo ndio chanzo kikuu cha magonjwa ya tumbo

    T2015CCM, Nimefurahi sana kusoma hii kitu ndugu nami nimesimbuka sana kama wewe ila huu mwezi nimetimiza mwaka wa tatu na ndipo nimepimwa nikaambiwa apendex imevimba kutokana na kubanwa na kibofu kilichovimba kwa kuathiriwa na kichocho nilichougua nikatibiwa lakini tayari kiliweka madhara ya...
  6. silas a m gabayara

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Hilo tatizo hata mimi linanisumbua sana aisee alafu nikilala kabla ya kusinzia inanilazimu kukojokojoa baada ya muda mfupi sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. silas a m gabayara

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine now heading to Busabala on a bodaboda after beating heavy security surrounding his home

    [emoji23][emoji23][emoji23] muroto ni noouma mpaka siro anamjua
  8. silas a m gabayara

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa Kichocho (Bilharzia); Chanzo, dalili na tiba

    Sasa mbona unanicheka jamaa badala ya kusaidiana
  9. silas a m gabayara

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa Kichocho (Bilharzia); Chanzo, dalili na tiba

    Najaribu lakini haifunguki aisee
  10. silas a m gabayara

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa Kichocho (Bilharzia); Chanzo, dalili na tiba

    Nauliza kama ugonjwa wa kichocho unaweza pia kuathiri njia ya mkojo na ya aja kubwa jamani nisaidieni majibu tafadhali
  11. silas a m gabayara

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri na tiba ya tumbo lenye dalili hizi

    Nimetuma tayari kwa watsup yako
  12. silas a m gabayara

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri na tiba ya tumbo lenye dalili hizi

    Nipe namba yako nikutumie watsup Mashina yote mawili labda mi ndo nayachaganya samahani lakini ndugu au unga yangu ni +255 743 431 790
  13. silas a m gabayara

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri na tiba ya tumbo lenye dalili hizi

    Nipe namba yako nikutumie watsup Mashina yote mawili labda ni ndo nayachaganya samahani lakini kwa usumbufu ndugu
  14. silas a m gabayara

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri na tiba ya tumbo lenye dalili hizi

    Au ni mbigiri kaka maana shubiri huwa iko na ladha ya uchachu kidogo
Back
Top Bottom