Bobi Wine now heading to Busabala on a bodaboda after beating heavy security surrounding his home

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
1,366
Points
2,000

beth

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
1,366 2,000
Mwanamuziki ambaye ni Mwanasiasa pia, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amefanikiwa kutoroka ulinzi mkali wa Polisi uliokuwa ukizingira nyumba yake huko Magere

Inadaiwa kuwa kwa sasa Mbunge huyo wa Kyadondo Mashariki anaelekea tamasha lake alilozuiwa kulifanya huko Busabala kwa kutumia Bodaboda

Mapema leo asubuhi Polisi walizingira nyumba ya Bobi Wine ili kumzuia kushiriki katika tamasha lake la muziki liitwalo ‘Osobola ku Independence’ kwa Kiingereza 'Independet Day Music Concert'

Kwa mujibu wake Bobi Wine amedai kuwa Polisi walianza kuzingira nyumba yake na ukumbi wa tamasha hilo jana usiku akidai Polisi hao ndio walisema hawana uwezo wa kulinda watu huko Busabala

Aidha, Msemaji wa Polisi, Fred Enanga ameeleza kuwa tamasha hilo haliwezi kufanyika kwa sababu Bobi Wine ameshindwa kutofautisha siasa na muziki

Musician turned politician Robert Kyagulanyi alias Bobi Wine has found his way out of his highly guarded home in Magere after beating the police heavy deployment.

Now, the Kyadondo East Member of Parliament is heading to his One Love Beach Busabala on a boda boda.

The pop star is being followed by some of his supporters.

Earlier today, police surrounded Bobi Wine’s home in a move that was aimed at stopping him from staging a music concert dubbed ‘Osobola ku Independence’ today Wednesday October 9, 2019.

According to the singer, police started deploying outside his house and at the show venue in their hundreds at 11.00pm on Tuesday night.

“My home in Magere is yet again under police and military siege! At about 11:00pm last night, they surrounded my home in Magere as well as One Love Beach Busabala, in another move to place me under house arrest and block our Independence Day music concert,” he posted on his social media pages, adding that this would be cancelled show number 156.

“These are the same people who claimed not to have enough security to secure people at Busabala. They have enough manpower to instill fear and harass citizens!”

The police, through spokesperson Fred Enanga had earlier said the show would not go on because the singer has failed to differentiate between music and politics.

Heller

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2013
Messages
2,970
Points
2,000

Heller

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2013
2,970 2,000
kuna tofauti kati ya polisi wa Uganda na wa bongo.!

imagine yule kamanda mpenda sifa Muroto angewafanyaje!? "yaani watapigwa hadi wachakae"

ama wangeonyeshwa "kilichomtoa kanga manyoya.!?"
 
Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Messages
2,195
Points
2,000

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2009
2,195 2,000

View attachment 1227565
Hivi hawa marais wanafikiri watakaa madarakani milele? Yawapasa wajue kabla ya wao kuwa marais, walikuwepo marais waliowatangulia na sasa hawapo.
Hitler alikuwa mkorofi lakini hayupo leo.
Wamekuwa wanawatumia vibaya askari kunyanyasa watu hasa wale ambao ni wapinzani wao
 
Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Messages
6,759
Points
2,000

Mudawote

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2013
6,759 2,000
kuna tofauti kati ya polisi wa Uganda na wa bongo.!

imagine yule kamanda mpenda sifa Muroto angewafanyaje!? "yaani watapigwa hadi wachakae"

ama wangeonyeshwa "kilichomtoa kanga manyoya.!?"
Hujui kitu. Kizazi cha waganda ni katili sana, hawana utu kwa sababu ya vita. Tz tunamshukuru Mungu hatuna chuki za kuuana wala uchu wa madaraka, tuna siasa za mijadala na malumbano yetu yapo kikatiba na kila mtu hukubali kushindwa.
 
900 Inapendeza zaidi

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Messages
1,656
Points
2,000

900 Inapendeza zaidi

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2017
1,656 2,000
[/QUOTE]
Hujui kitu. Kizazi cha waganda ni katili sana, hawana utu kwa sababu ya vita. Tz tunamshukuru Mungu hatuna chuki za kuuana wala uchu wa madaraka, tuna siasa za mijadala na malumbano yetu yapo kikatiba na kila mtu hukubali kushindwa.
Hapa kwetu Isipokuwa magu tu hafuati katiba,yuko juu yake
 
ngongoti2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2017
Messages
648
Points
500

ngongoti2000

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2017
648 500
Hivi hawa marais wanafikiri watakaa madarakani milele? Yawapasa wajue kabla ya wao kuwa marais, walikuwepo marais waliowatangulia na sasa hawapo.
Hitler alikuwa mkorofi lakini hayupo leo.
Wamekuwa wanawatumia vibaya askari kunyanyasa watu hasa wale ambao ni wapinzani wao
mawazo haya utakuwa nayo kama ni fukara
 
Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Messages
704
Points
225

Ngamba

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2013
704 225
Ila mjue kuwa hakuna lolote bobi wine atakalofanya kumto Babu yetu madalakani, cha msingi kwao ni kuona waongeza idadi ya wabunge kabla ya kufikiria nafasi ya Raisi
 
Forum statistics

Threads 1,344,378
Members 515,441
Posts 32,818,112
Top