Tamko la kupinga Chama Cha Kijamii (CCK) kushiriki Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25 Oktoba, 2015
Chama Cha Kijamii (CCK) kimekosa sifa za kushiriki kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25/10/2015 kwa sababu zifuatazo:
1. Kuna kesi mbili Mahakama Kuu Dar Es Salaam dhidi ya viongozi wa Chama (CCK)...
habari nilizonazo kama tetesi asubuhi ya leo kuwa kundi la mgombea urais mmoja wa ccm limeanza kuwasogolea wanasiasa wa vyama vya upinzania wenye njaa kali ambao kwao hii ni opportunity never come twice ya kujitengenezea maisha yao baada ya bunge hili ( kumbuka wengi wa wanasiasa hawa wa vyama...
ya zitto yamekushinda sasa umeona uhamie kwa wazenji? hebu tueleze ukweli pia wa shekh suleiman taqdiir na akina bilal waikela walivyopigania uhuru wa tanganyika na nyerere akaitwa baba wa taifa wakati si kweli? nyani haoni ....
eee Mola,umemtesa sana sharon kwa kumuweka kwenye comma 6 au 7 years,ni dalili nzuri kuwa huko akhera utampokea kwa ghadhabu na hasira kuu kwa madhambi ya mauaji na ubakaji aliyoyafanya hapa duniani,ewe mola,msokomeze kafiri na gaidi huyu kwenye moto mkali zaidi kuliko jahannam,aaamin
mwanamke asiyejitambua bila shaka utakuwa ni wewe shoga angu,vipi ushamaliza kusukwa mabutu???? hahahaaaaaa,ndo zenu kuwachacha wangwe wanaowapinga,anza na samson mwigamba kapigwa mbele ya mbowe,mjumbe wa kamati kuu toka kigoma kakung'utwa mbele ya mbowe juzi,na huyu nae,ndo sera yenu shogaee...
kama sasa hivi ukipingana nao mawazo unaitwa msaliti,mhaini,ccm,buku 7 nk.
je tukiwapa nchi ukawapinga si watakuita banyamulenge au intarahamwe ili wakumalize??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.